Sioni sababu ya muhimu ya Rais mwenye kuzungukwa na ulinzi mkali kufanya hivi. Kwa hili napingana naye

Anzisha mada ya kumuhusu Abdul na mama yake hayo mengine waachie kina Aziz ki
 
Nilikuwa nasema leo kumetokea nini Lucas anapingana na Rais Samia? 🀣🀣🀣
 
Huyu jamaa kuna kitu hakiko sawa.Wanaomshabikia kuna siku watajilaumu.
 
Tatizo ni kuwa ukiwa chawa unakuwa kipofu! Yaani wewe hukuwahi kumuona Magufuli na silaha kiunoni?
Kikwete ni Mgambo sijui hata kama anajua kutumia silaha! Hata hivyo huwezi kumfananisha mkufunzi wa siasa jeshini na Rais Traore!
Kikwete ana cheo kikubwa,kama siyo kanali ni kapten.Nimesoma maharishi,Kikwete ni Major wa Jeshi.
 
Jana nimemfuata Twitter Sasa X nikamueleza kila kitu kilichoendelea kuhusu raia wake bwana Aziz K akijibu nitakuja hapa kuwaambia raisi wa Azizi K amesema nini kuhusu utapeli aliofanyiwa .
 
Jadili hoja na siyo kuleta hoja za aibu hapa.
Huna hoja wewe unatafuta attention tu kwa mambo ambayo hayana tija. Ugeni wako tu wa haya mambo ndiyo unakupa shida, umeshawekewa na picha post # 142 bado unakaza fuvu tu.Hiyo ndiyo style yake aliyochagua huwezi kumpangia .
 
Wewe kwa akili yako unaona ni sawa kiuongozi katika karne hii? Ungekuwa wewe ungefanya hivyo?
 
Hata Lissu wetu yupo kwenye mchakato wa kupewa mguu wa kuku wake manake machawa wajingajimga wenye husda nae wamekua ni wengi sana,ukizingua tu unakula chuma ya mndukuni
 
Hata Lissu wetu yupo kwenye mchakato wa kupewa mguu wa kuku wake manake machawa wajingajimga wenye husda nae wamekua ni wengi sana,ukizingua tu unakula chuma ya mndukuni
Kweli CHADEMA akili zenu ni fupi sana.
 
Hamisa ni Binti Mbichi kabisa.
Kaka mimi ninayo mengi ya kusema kuhusu huyo Bibi maana Mimi ni mmoja wa waliomtongoza akiwa tandika sekondari hivyo nikimuita bibi simaanishi tu umri hata matumizi aliyoyapitia

Note : Nisamehewe kwa kumtongoza akiwa mwanafunzi japo nilitaka future na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…