NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kirusi Kwa timu,sidhani kama atabakiKwa hili nakuunga mkono abakizwe tu bado Yuko kwenye fomu
Ila huyu kocha alikuja sijui Kama atatoboa Hadi January Nina wasiwasi mno atafutlruga timu kuleta falsafa zake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hujui chochote baki na mkia wako hukoKwa hyo mtu kudai haki yake ndio usumbufu
Nchi hii ngumu Sana had serikal kujadili mkataba wowote n usumbufu
.aliyeturoga nadhan kafa
Kuanzia katikati ya msimu alishakuwa kashuka kiwango,akabaki mpiga majungu tu na mwenzie DjumaYanick Bangala kwangu Mimi bado ni kitasa haswaa tena ni mchezaji mzuri japo kuwa Yanga inaviungo wakabaji wengi lakini ukipiga hesabu za uchezaji namba sita (6) hakuna wa kumfikia Yanick Bangala.
Inasemekana Bangala anatolewa kwa mkopo kwa sababu ya nidhamu haswa kwa kosa la kudai posho na bonus zilizoahidiwa Mara kwa Mara kuonekana ni msumbufu mbele ya viongozi.
Kwangu Mimi Yanick Bangala hakuna kiungo atakayeweza kumfikia kwa uchezaji wake na viongozi wa Yanga sc wasijidanganye na kujifariji kwa ujio wa Jonas Mkude.
Kama wachezaji wanadai stahiki zao wapewe kuliko kuanza kuwatoa kwa mkopo.
Mwaka huu Wala mihogo lazima muandamane mpaka Sasa timu haielewekiMimi nasubiria tu siku ya Mwananchi, na pia msimu mpya wa ligi uanze.
kishingo alikuwa Hana maamuzi ya nani asajiliwe, maamuzi yalikuwa kwa kina Hanspope. yeye maamuzi yake yalikuwa nani ampange acheze.HUYU Bangala ilikuwa asajiliwe Simba Mwaka 2019-20
Bahati Mbaya KOCHA seven (kishingo) wakati HUO akiwa Far Rabat alikataa.
ALISEMA Bangala ni mchezaji mzuri sana beki kitasa ila anamatatizo makubwa sana ya kinidhamu. Simba hamtaweza kuyavumilia.
Awakaamua KUMSAJILI Enock Inonga baka Varane.
Mtani wangu siku yenu ya wananchi haiwezi kuwa kipimo sahihi..ni mapema sana sidhani kama timu yenu imeungana..subiria tu msimu uanze.Mimi nasubiria tu siku ya Mwananchi, na pia msimu mpya wa ligi uanze.
Aiseee apewe tuzoHUYU Bangala ilikuwa asajiliwe Simba Mwaka 2019-20
Bahati Mbaya KOCHA seven (kishingo) wakati HUO akiwa Far Rabat alikataa.
ALISEMA Bangala ni mchezaji mzuri sana beki kitasa ila anamatatizo makubwa sana ya kinidhamu. Simba hamtaweza kuyavumilia.
Awakaamua KUMSAJILI Enock Inonga baka Varane.