The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Atleast alipokuwepo maximo impact ilionekana,tukapanda hadi nafasi ya 89,sasa ndo tunazidi kuporomoka siku hadi siku,kwanin tusifundishwe na wazawa kwa kiswahili labda lugha ndo tatizo,hebu waoneni vijana wa julio wanavyofanya vizur somehow inaonekana wanamuelewa mwalimu,kwa udhamini na support iliyonayo stars kwa sasa,hata tukifundishwa na mzalendo tunaweza kupiga hatua,<br />
Nawasilisha wadau!
Nawasilisha wadau!