The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nilipata update ya Android 11 kwenye note 20 ultra yangu wiki 2 zilizopita, juzi jumamosi nikaamua niipakue na kui-install. Kwa siku 2 hizi nimekua nikijaribu kutafta ama nione kitu cha tofauti kati ya Android 10 na Android 11, yaani One UI 2.5 na One UI 3.0 sioni tofauti yoyote ya maana.
Nilikua na hamu ya kuona kupata Android 11 kwenye simu yangu lakini kama vile nimekua disappointed, sioni kitu kipya.
Wataalam wa Android mnisaidie labda mimi ndio sijajua ku-explore hidden features za Android 11.