The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Angalia hii video. Kuna mengi tu yameongezekaNilipata update ya Android 11 kwenye note 20 ultra yangu wiki 2 zilizopita, juzi jumamosi nikaamua niipakue na kui-install. Kwa siku 2 hizi nimekua nikijaribu kutafta ama nione kitu cha tofauti kati ya Android 10 na Android 11, yaani One UI 2.5 na One UI 3.0 sioni tofauti yoyote ya maana.
Nilikua na hamu ya kuona kupata Android 11 kwenye simu yangu lakini kama vile nimekua disappointed, sioni kitu kipya.
Wataalam wa Android mnisaidie labda mimi ndio sijajua ku-explore hidden features za Android 11.
Mkuu vip ukaaji wa chaji wa hiyo mashine katika matumizi ya kawaida?Nilipata update ya Android 11 kwenye note 20 ultra yangu wiki 2 zilizopita, juzi jumamosi nikaamua niipakue na kui-install. Kwa siku 2 hizi nimekua nikijaribu kutafta ama nione kitu cha tofauti kati ya Android 10 na Android 11, yaani One UI 2.5 na One UI 3.0 sioni tofauti yoyote ya maana.
Nilikua na hamu ya kuona kupata Android 11 kwenye simu yangu lakini kama vile nimekua disappointed, sioni kitu kipya.
Wataalam wa Android mnisaidie labda mimi ndio sijajua ku-explore hidden features za Android 11.
Siku nzima, kama ukiweka medium power saving mode.Mkuu vip ukaaji wa chaji katika hiyo mashine katika matumizi ya kawaida?
Haipati Moto pindi unapotumia camera muda mrefu?Siku nzima, kama ukiweka medium power saving mode.
Charge kwenye simu kubwa sio shida kabisa. Kwa normal user unaweza kurudi nayo nyumbani sa 5 usiku ikiwa 40%.
Simu yoyote itapata moto ukitumia camera muda mrefuHaipati Moto pindi unapotumia camera muda mrefu?
Camera muda mrefu unakua unafanya shughuli gani mkuu? Unarekodi video za harusi ama?😂Haipati Moto pindi unapotumia camera muda mrefu?
Kurekodi Mikutano ya injili!Camera muda mrefu unakua unafanya shughuli gani mkuu? Unarekodi video za harusi ama?
moto wa kazi gani!!Haipati Moto pindi unapotumia camera muda mrefu?