Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

Nimetoka Kariakoo!
Daladala limetupeleka SHAURIMOYO!
Kisha MACHINGA COMPLEX!
Then BOMA!
Kigogo round about!
Mikumi!
Tukala KUSHOTO kutokea USALAMA!
Safari ya MANZESE inaendelea!
2 Hours!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unakaa Tandale Kwa Mtogole daraja la Salender utaliona lina faida kivipi?
 
Sasa wewe unakaa Tandale Kwa Mtogole daraja la Salender utaliona lina faida kivipi?
Mzee hata kwa mvua ya leo bado hujaona ukubwa wa wazo la Quinine?
 
”Kuhusu eneo la Jangwani nimpongeze JPM amelizungumzia hili wakati wa Kampeni na lipo kwenye Ilani ya CCM kwamba pale Jangwani litajengwa Daraja jipya kubwa na kuutengeneza Mto wenyewe na itasaidia kuondoa changamoto ya eneo la Jangwani"- RC KUNENGE youtube.com/c/MillardAyoTza
 
Kumbuka aliahidi milion 50 kila kijiji.
 
Haujui unalolisema. Kwa taarifa yako wasafiri wengi kutoka barabara ya ALI HASSAN MWINYI na Mwai Kibaki-yaani Mwenge na njia ya chini inayopita Namanga hadi Bagamoyo ndiyo walengwa wakubwa wa daraja hili. Wataingia barabara za Masaki na Mikocheni na kukwepa foleni ya Salender bridge kupitia daraja hili. Usilolijua usilisemee
 
Kwa maoni yangu naona daraja jipya la salendar yaani tanzanite bridge ni prestige zaidi kuliko kusema ni mradi wa kimkakati. We una maoni gani
 
Sasa hivi unalisifia
 
Sasa hivi huyohuyo analisifia sana, kumuelewa mbongo inabidi uwe chizi kidogo
Sio kila kitu cha kusifia, tangu liziduliwe limeingiza shi ngapi na ni walalahoi wangapi wamelitumi, si mara 10 ya daraja la Kigamboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…