technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote.
Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri
Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!!
Mtu alipata four ya 28 akasoma certificate akapata kazi serikalini.
Akarudia mtihani akapata credit 3 akaenda kusoma masomo ya advance akapata E mbili na S moja akaenda chuo akapata degree yake sasa hivi unakuta ni katibu wa wizara.
Au baada ya certificate akasoma diploma then degree. Hawa ndio wameshikilia vyeo vya Tanzania..
Sasa tunakuja kwenye kizazi Cha 1990 kuja juu unakuta mtu darasa la 7 ana A zote form four division one ya 7, 8,9,10,11.... Mpaka division two ya 20 anaenda advance anapata one Kati ya 3-9 anaenda chuo.
Akirudi mtu anayetakiwa kumuajiri yeye alifeli anaweka ugumu anaweka mizengwe kwa kuhofia cheo chake ndio maana serikali haina competence.
Nimeandika hivi Kutoa ushahidi kuwa walimu manesi na watumishi wengi wa local government ambao ndio wanasimamia elimu na jamii kwa %kubwa walifeli shule .
Ingia halimashauri ingia primary school ingia kwenye zahanati 95% utakuta elimu yao ni form four zile score za division four!!.
Ndio maana nimesema Kama mtoto wako unataka afanikiwe au wewe binafsi ufanikiwe lazima uhakikishe wewe au mtoto wako anaanza kuonyesha Cheti Cha kidato Cha nne pekee Tena chenye division four au three ya mwisho aingie kwenye mfumo then ndio aendelee!!
Wote ni mashahidi mwaka huu walichukuliwa maaskari wenye elimu ya kidato Cha nne with division four ya 28,29 na 30!!
Halafu unasema Hawa watu wanaenda kujenga nchi.
Kama ulifeli masomo unawezaje kujenga nchi?
Tanzania haitokaa igundue technology zake Wala kufanya Jambo lake bila kuwashirikisha wazungu kwa hii style ya mifumo ya elimu.
Elimu ndio Kila kitu msome China, south Korea, Japan na Urusi wale sio Marekani lakini wamefanikiwa kwa Kila kitu kwa sababu ya elimu na kutumia wataalamu kweli!!
Mpatie mwanao ujuzi utakuja kunishukuru!!