Cool...✊✊Ilikua typing error shukrani nimerekebisha
Kwani nimesema kuna shida?Hii haina shida kazi ipo kwenye Simu yako hii ni water resistant huwa naiosha asubuhi
5G inaweza kuwa Stand alone (SA) na non stand alone (NSA).5G MIKOA 26? I doubt
Na una enjoy kasi ileile ya 5G?5G inaweza kuwa Stand alone (SA) na non stand alone (NSA).
Mitandao yetu hapa wengi wanatumia NSA ambayo inatumia core Ile Ile ya 4G ila radio ndio za 5G, hii wanatumia miundombinu Ile Ile ya 4G so ni rahisi Ku rollout 5G, hasa vile Halotel wameweka 4G karibuni compare na wengine.
Juzi ilinikera Mb zangu lakini mtandao unasumbua sifanyi yake niliyokusudia , sasa nikajiukiza hapo mnara uko full tena 4G je sehemu ambayo network shida itakuwaje ?Halotel ni gang of thugs
Don't trust their ass
Mtandao wao ni mbovu haijawahi tokea.
Huu mtandao unaweza kuvunja ndoa za watu kupitia hitilafu za kiufundi ambazo zimekuwa za kujirudia.
Ukiona tu mtandao unashindwa ku perfom perfectly kwenye USSD code ujue maeneo mengine yenye kuhitaji tech za juu ndio kuna uozoo wa karne.
Huku mtaani kwetu kuna kipindi tulienda mwezi mzima speed ya internet ilikuwa haitoshelezi hata kufungua picha ya WhatsApp.Juzi ilinikera Mb zangu lakini mtandao unasumbua sifanyi yake niliyokusudia , sasa nikajiukiza hapo mnara uko full tena 4G je sehemu ambayo network shida itakuwaje ?
Niliutakana sana kimoyomoyo nikaona Bora ununue GB 1 Elfu 5 Voda kuliko kuteseka na GB 1 buku ya Halotel wako very poor kwenye internet na inabidi viongozi wakamatwe
Ndio kama Tigo wanayo 1Gbps na voda ni 600mbps kama sijakosea.Na una enjoy kasi ileile ya 5G?
Kasulu lakini location inaonyesha upo Dar?[emoji1787]Hapa Kasulu 5G inapanda vizuri tatizo haiko stable kuna muda inarudi 4G.Wameweka kwenye minara michache sana.