Elections 2010 Sipati picha bunge jipya na wabunge wake

Elections 2010 Sipati picha bunge jipya na wabunge wake

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Unajua nilikuwa naspare mda mdogo sana kusikiliza vipindi vya ubunge tena hasa ikitokea kama coincidence.
Izi tetesi za wabunge wapya tena akina Lissu,Sugu,Msigwa etc unaweza ongezea
Inanitia hamasa ya kudedicate mda zaidi wa kuwasikiliza
Mungu ibariki Tz angalau nusu ya wabunge itoke upinzani
 
Back
Top Bottom