Unajua nilikuwa naspare mda mdogo sana kusikiliza vipindi vya ubunge tena hasa ikitokea kama coincidence.
Izi tetesi za wabunge wapya tena akina Lissu,Sugu,Msigwa etc unaweza ongezea
Inanitia hamasa ya kudedicate mda zaidi wa kuwasikiliza
Mungu ibariki Tz angalau nusu ya wabunge itoke upinzani