tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Nadhani ww kazia tu hapo kwenye kujielewa kwake hayo ya uzuri kila mmoja ana definition yake.
Nimekutana na Nancy kama miaka mwil ilopita pale NMB hq mpya karib na Srena hotel aisee, trust me kwanza hata sikuweza kumjua kama ni yeye.Uzuri nilokua namuona nao kwenye tv na ule urefu wake aisee ni tofauti kabisaa nilivyomuona.tofauti sanaa.Sio m baya actually lakin ni wa kawaida tu.Kawaida.
Lakin nakubal yule dada alikua anajielewa sana nadhan hata kind of company anayojichanganya nayo pia ni cream brains tofauti na hawa masapwala wengine akina wema.
Basi jitahidi uonane na kale nanaitwa Vmoney daahh aibu,kuna huyo Linnah,Shilole,kuna mtangazaji anaitwa Salma Msangi yaani kama jini alivyojikondea,.Kwakweli umaarufu unawabeba tu.Ila mzee baba Jojo kwasasa kawa mtamu kimtindo tofaiti na miaka hiyo 5 uliyomuona.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wallah!Kwamba wangekuwa wanalima karanga na viazi vitamu huko mwamapalala ingekuwa ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gold digging paysHalafu ukichunguza kuna utatu flani hivi wa hawa mamiss.. Nancy, Klyin na Faraja.. Wote wamelenga sehemu nzito nzito halafu ni mabestiii... Coincidence?
Acha uongoo mkuu.. Basi tuseme wote ni wakawaida alafu dada zako ndio wazuriKabisaa mkuu.Umenikumbusha pia kama miaka 5 hiv nilikutanaga na Jokate pale IFM kiukwel nilichiweza ku notice ni kwamba huyu dada kama namfaham lakin sikuweza kujua exactly mpaka baada ya kuvuta sana kumbukumbu.Ila pia alikua wakaiwada sana hata kwa kumlinganisha na watoto wa pale chuo.Sio m aya lakin hawapo kama hiv wanavyokuzwa aua wanavyojikuza
nimejikuta naikumbuka siku niliyokutana na vee money pale city mall azizi house of jeansBasi jitahidi uonane na kale nanaitwa Vmoney daahh aibu,kuna huyo Linnah,Shilole,kuna mtangazaji anaitwa Salma Msangi yaani kama jini alivyojikondea,.Kwakweli umaarufu unawabeba tu.Ila mzee baba Jojo kwasasa kawa mtamu kimtindo tofaiti na miaka hiyo 5 uliyomuona.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu la nini bab!?Acha uongoo mkuu.. Basi tuseme wote ni wakawaida alafu dada zako ndio wazuri
Hapana boss mama yako mzazi ndiye mzuriPovu la nini bab!?
Ndio maana nikaanza kwa kusema suala la uzuri is relative thing!depends on someone's angle of interest.
Basi tufaye dada zako ww na girlfrnd wako ndio wazur basi na hao niliowataja woote nao wazur basi ili ufurah
Hawajui hata kidogo...Hivi kizazi cha juzikati hapa,kinawajua hao watu uliowataja kweli..?
hahahaaaaJamaa tupo naye mitaa ya makuburi jirani na kanisa la roma tuna kula nae ugali kwa mchicha kwa mama ntilie, naamini na Nancy tungekuwa nae mitaa hii na wala usingemwona huko ulipo muona
Halafu ukichunguza kuna utatu flani hivi wa hawa mamiss.. Nancy, Klyin na Faraja.. Wote wamelenga sehemu nzito nzito halafu ni mabestiii... Coincidence?
Ilibidi amfuate sio kuzungumza kwenye vyombo vya habariKipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.
Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.
Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.
Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.
Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".
Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.
Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?
Shubaamita!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.
Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi kwa mdada yeyote kuchomoa ofa ya kuwa naye. Warembo walimpapatikia sana na ofkoz alitawala wingu la Bongo Fleva. Historia inakumbuka.
Na enzi hizo Nancy ndio alitoka kunyakua ushindi wa Miss World Africa.
Jamaa akashindwa kujizuia. Kila akihojiwa akawa anasema wazi anamzimikia sana Nancy Sumari. Na ndoto zake zitatimia akifanikiwa kumnasa maana lengo lake halikuwa kumchezea bali kumuoa kabisa.
Kama haitoshi, Doggy Man akarekodi wimbo mahususi kwa ajili ya Nancy akafunguka ya moyoni. Ngoma ilihit sana kwa wanaoikumbuka. Iliitwa "Ina maana".
Sikumbuki kama Nancy alizungumzia chochote.
Leo nimemuona Nancy sehemu nikawaza laiti angemkubalia jamaa wawe couple wangekuwaje leo hii? Kama angemkubalia kwa sababu ya umaarufu, wangedumu kweli?
Shubaamita!
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay. We are getting close..For some strange reasons I hate that bitch
I find her sneaky and devilish
Nakaaya has my respects!
Fvck that fake bitch whatever the fvck name is.....