Sipati picha TENESCO ndio wangepewa tenda ya kuzima simu

bobdizo

Senior Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
137
Reaction score
50
Hii tenda ya kuzima Simu wangepewa TANESCO! Shughuli ingeisha kitaaaaambo! [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
wangeshazima zamani wasingebembeleza kama TCRA wanavyotufanyia
 
Hii tenda ya kuzima Simu wangepewa TANESCO! Shughuli ingeisha kitaaaaambo! [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuh aisee kijana umewaza mbali sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuh aisee kijana umewaza mbali sana
hahahahha maana shirika hili la TANESCO wanatisha hawana subra
 
Da! nimecheka sana sijui jamaa kawaza nini.
 
ingekuwa zima washa zima washa, wasingezima moja kwa moja
 
Weeee Usiseme Kwa Sauti Wanaweza Kuhamisha Majukumu Halafu Uone Hyo Ndiki Lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…