Sipati picha wanaume wasingekuwepo duniani.

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Hivi kweli wanaume wasingekuwepo duniani je dadazetu mngejipamba??
Kwanza hata sijui maisha yangekuwaje.
 
tangopori leo umeamua kushusha ma-thread tu..........usiku mwema.....
 
mi mwenyewe sipati picha wanawake wasingekuepo duniani ingekuaje...imagine if tits, asses, hips, sexy eyes, miguu(chupa ya bia) sexy lips..imagine hizo zingekua hazipo hapa duniani...cat walk...daaahh...i thank God above all alimuumba mwanamke :happy:
 
Ingekua raha sana maana kusingekua na kuzaa.
 
hata mwanamke asingelikuwepo, maana biblia inasema mwanamke ametokana na ubavu wa mwanaume
 
Mh, nyuzi nyingine Bwana.
.
"IT WAS GOD WHO CREATED MAN, MAN CREATED MONEY AND MONEY HAVE CREATED MAD AND MAD AND MAD AND MAD...".
 
Hivi kweli wanaume wasingekuwepo duniani je dadazetu mngejipamba??
Kwanza hata sijui maisha yangekuwaje.

Mhhh, nafikiri dunia isingeweza ku-exist kabisa. Machango wetu sisi wanaume kwenye hii dunia ni mkubwa mno. Jiulize yafuatayo:

1. Wangejipamba, ili iwaje? na kwa ajili ya akina nani! Ila labda wangevaa nguo za kujisitiri.
2. Watu wasingeongezeka
3. Uvumbuzi na Ungunduzi ungefanywa na nani? (Hapa sina maana ya kuwadhalilisha wanawake kuwa si wagunduzi wa teknolojia, ila najaribu kufuata historia ya uvumbuzi na ukuaji wa teknolojia-Wanaume walikuwa involved zaidi!)
3. Kazi ngumu zingefanywa na nani?
4. Raha ya maisha ni uwepo wa pande zote mbili, wanawake na wanaume, if so, dunia ingekuwa na raha gani??
 
Hivi kweli wanaume wasingekuwepo duniani je dadazetu mngejipamba??
Kwanza hata sijui maisha yangekuwaje.

maisha yasingekuwepo maana kusingekua na namna yoyote ya utungu wa mimba...hivyo haya uwazayo hata huhitaji kuwaza sana
 
Hivi kweli wanaume wasingekuwepo duniani je dadazetu mngejipamba??
Kwanza hata sijui maisha yangekuwaje.


Kutokujua ni nini kingetokea kama wanaume wasingekuwepo ni mapenzi yake Muumba na ameyafanya yote haya kwa makusudi yake. N yeye anajua fika kabisa kwamba kama kusingekuwa na wanaume hapa duniani angeleta namna tofauti kabisa na maisha tunayoishi sasa nasi tungeona ni ya kawaida. Inawezekana wangeweza kuwa wanajipamba zaidi ya wanavyojipamba sasa kutokan na mtindo wa maisha ambao ungekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…