Unaitwa usela mavi maisha ya arusha watoto wengi wamekimbia shule kukimbilia kwenye mishe za madin na wengine kaz za sokon na stand ya basi pia vijana wengi waliokimbia shule walivutika arusha sababu ya biashara ya madini haswa kutoka singida na manyara kutokana na story zilikuwa zinavuma kuwa kuna hela nyingi wengi hawakupata walichokipata waliishia kiwa chokoraa ndio likawa chimbuko la hawa watu wa aina hii kuvaa bila mpangilio yaan unavaa unachokipata...sasa kwa watoto wengine ambao walikuwa kwenye mstari wakajikuta wanataka ku fit kwenye society sababu hawa machokoraa wanakuwa wanakuponda kuwa mtoto wa mama wewe au hujui maisha so wanajikuta wanataka kujifananisha nao ili waendane ndio hivyo wakaamza kuvaa hovyo akimin ni ujanja sasa wewnza kuvaa nguo zilichonika bado wanaamin ni ujanja ni suala la kisaokolojia zaid.!..ila ni usela mavi ni fikra zile zile zilizokuwepo zaman za Kihardcore kwamba ukiwa hardcore usiwe msafi,usiwe na demu au usivae.vizuri ili uimekane mgumu.!