Sipendi elimu

Sipendi elimu

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
Sipendagi elimu mimi..!

_*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_
_*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ukiona hivyo ujue hata elimu pia haikupendi

brain is the beautiful part of the body.
 
ha ha ha! sio kwamba hupendi elimu,hupend test
 
Elimu ilikuwepo tangu enzi muda unavyokwenda uwezo wa watu unazidi kuwa mdogo wakaona sasa tufundishe maana vilaza walikuwa wengi mno..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya kutumia kichwa kwajiri ya kufugia nywele
 
Tatizo lako ni hiyo NKYA
Huwezi kutumikia mabwana wawili pesa na elimu.
 
Km hauwez kusoma hakikisha ni faita sio darasan uwe zero na mtaan zero utakuwa ni mzigo

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Back
Top Bottom