Kristonsia Nkya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 302 Reaction score 292 Aug 8, 2017 #1 Sipendagi elimu mimi..! _*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_ _*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
Sipendagi elimu mimi..! _*Ivi aliyeanzisha Elimu alifikiria nini jamani*_ _*Maana nakumbuka Yesu alikuwa na wanafunzi wake lakini sikuona ata sehemu moja anawambia Kesho TEST
S song 16 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 237 Reaction score 269 Aug 8, 2017 #2 Nalo neno lakini Sent using Jamii Forums mobile app
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,568 Reaction score 6,424 Aug 8, 2017 #3 [emoji3][emoji3][emoji3]ukiona hivyo ujue hata elimu pia haikupendi brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3][emoji3]ukiona hivyo ujue hata elimu pia haikupendi brain is the beautiful part of the body.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Aug 8, 2017 #4 ha ha ha! sio kwamba hupendi elimu,hupend test
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 Aug 8, 2017 #5 Elimu ilikuwepo tangu enzi muda unavyokwenda uwezo wa watu unazidi kuwa mdogo wakaona sasa tufundishe maana vilaza walikuwa wengi mno..! Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ilikuwepo tangu enzi muda unavyokwenda uwezo wa watu unazidi kuwa mdogo wakaona sasa tufundishe maana vilaza walikuwa wengi mno..! Sent using Jamii Forums mobile app
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 708 Aug 10, 2017 #6 Hahaha Hahaha
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Aug 10, 2017 #7 Matatizo ya kutumia kichwa kwajiri ya kufugia nywele
LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,798 Reaction score 2,107 Aug 10, 2017 #8 Tatizo lako ni hiyo NKYA Huwezi kutumikia mabwana wawili pesa na elimu.
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Aug 10, 2017 #9 Km hauwez kusoma hakikisha ni faita sio darasan uwe zero na mtaan zero utakuwa ni mzigo mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Km hauwez kusoma hakikisha ni faita sio darasan uwe zero na mtaan zero utakuwa ni mzigo mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?