nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Habari wakuu
Nimekuwa nikikwera na tabia ya mtu kuongelea suala asiloliju. Unakuta mtu sio medical personnel au sio mtu anafahamu masuala ya banking lakini huleta ujuaji sana kwa suala lisilomuhusu kabisa na kulieleza tena kwa uongo.