Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

I hapen to love the way you love him,unafanya kitu sahihi...keep the spirit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zako, sifanyi ujinga huo kisa kumfurahisha mwanaume! Unaacha kuweka akiba unampa mwanaume ili tu kumfurahisha! Ipo siku utazikumbuka.
Aisee sijafikiria bado. Hawachelewi kuja na ujinga wa mke wa pili hawa
 
Hongera zako, sifanyi ujinga huo kisa kumfurahisha mwanaume! Unaacha kuweka akiba unampa mwanaume ili tu kumfurahisha! Ipo siku utazikumbuka.

hahahah kumbe ujinga tena? we hutak kumpa mumeo tabasamu!bas we muuaji aisee hehhhe
 
Usimpe hela tu akiwa hana hela hakikisha unampa unyumba kila mara, mkumbatie mara kwa mara hata kama uko dar akimaliza kula mnawishe mikono kwa maji ya vugu vugu kidogo. Hiyo ndio ndoa. Ila na yeye akiwa nazo awe anatoa kama hatoi unahonga wewe
 
Usimpe hela tu akiwa hana hela hakikiaha unampa unyumba kila mara, mkumbatie mara kwa mara hata kama uko dar akimaliza kula mnawishe mikono kwa maji ya vugu vugu kidogo. Hiyo ndio ndoa.

jaman we Madam Mwajuma wewe mie huku nakufa kwa kucheka hebu acha basi!yaan naongea na sim uwiii nachekaaaa
 
mario waliojaa mji huu na wanalelewa na wanawake, unasema wanawake wa hivyo wako wachache? acha hizo wewe
Samahani, nisamehe sana sista, 'mario tunaolelewa mjini tupo wengi'.[emoji12] [emoji12]
 
Usimpe hela tu akiwa hana hela hakikiaha unampa unyumba kila mara, mkumbatie mara kwa mara hata kama uko dar akimaliza kula mnawishe mikono kwa maji ya vugu vugu kidogo. Hiyo ndio ndoa.

yaan bado nacheka jaman!@neybright njoo uone watu waliochoka huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…