Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

mimi ilishatokea mara nyingi mke kunipa pesa kwa kuwa simuulizi natimiza majukumu yangu ya kifamilia ila kuna wakati napata hasara kiasi kuuwa mtaji na kila mwaka tunakaa kujitathimin mahusiano na malengo ambayo tumejiwekea.
najua hata paswed ya atm yake.
alichukua mkopo wa milion 20 bank,wakati yy mjamzito mtt wa tatu,alipoandika kuihamishia kwangu bank teller hakuamin.......
mwanamke ukimshirikisha wapo so supportive hasa mke wa ndoa.na anakujua vema hata ujifiche vipi they are sensitive
 
Limbwata la kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hajapata mke tu,hii ndio tunasemaga ni zawadi kutoka juu,God bless u woman your unique

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisitiza kama yeye akiwa nazo hakujali wewe ndiye unamjali umeliwa, ila kama mnapeana safi sana. Vinginevyo unahonga
 
Sipendi kuamini ninayoyasikia. Mwanamke hata mtumie prsa wote ukiishiwa ni we mwanaume wengi zao wanabana. Mungu akujalie na hii unajijengea heshima kwa mumeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimependa hapo huku huna mwanaume wa kueleweka

hahahahahahahahha
 
Hakika your one of the kind in a million. Huna mfano kbsa ktk ulimwengu huu w sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu Emoj
kama una furaha ..hilo tu linatosha
Jambo la msingi katika maisha ni kuwa na Furaha
Mungu azidi kuwabariki katika ndoa yenu yenye furaha
 
mimi nilihis nimecheka mwenyewe. Kitu kingine nimeshindwa kumuelewa mtoa mada ni kwamba kama ana amani nini kimemleta kuja kusema huku.

nina wasi wasi na IQ yake maana kumpa mwanaume hela bila kuona faida hakujawahi muacha mtu salama. mimi siwezi niseme ukweli lol
 
Dada yangu Emoj
kama una furaha ..hilo tu linatosha
Jambo la msingi katika maisha ni kuwa na Furaha
Mungu azidi kuwabariki katika ndoa yenu yenye furaha
sijaona furaha hapo kabisa, mie uchaga utaniuaaaa, naweza nisipate usingizi wiki nzima jaman lol,
 
Haha me naomba tu niwe ndugu msomaji leo, maana naandika gazeti hapa afu nafuta teh. Mbiti uwe na moyo wa kupondeka mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…