Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Duh huyo kiboko. Hakuna sababu ya kumuua mtu, kwani umelazimishwa kuishi nae? Teh..sio mmachame mie, halafu sio pure mchaga nimechanganya na mnyamwezi


awwww mixer ya haja
 
Mpo wachache Sana dizaini yenu.
Ila naomba mungu anipatanie mwanamke muaminifu na mwenye moyo wa upendo kama wako.
Ningekushauri tuu kuwa huyo mumeo ndio ubavu wako, shirikianeni bila kificho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…