Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Mbiti sikuwezi, ata achieve dreams zake kwa mgongo wa mume!!! [emoji2]
Haha, hiki kifundo alichotoa sio cha sayari hii asee!!![emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhh umecheka??(damn)
Si ww umeeleza stori kama
Hii hapo juu au? So si ww ulikuwa kwa babu ulisema so nawe kipindi unamfanyia ivo yule mwanaume ulichekwa hivi hivi kama ulivocheka eehh!!?
Best nimecheka kwakuwa wewe unasema hiki kibaya kinamadhara mwenzio akipenda[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] dunia bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vile upo kwenye mawazo yangu, mie nimeona kama vile mume wangu atakuwa na akili mgando maana hawazi chochote, kweli sikatai kumsaidia mume wangu lakini sio kwa kiwango hicho huo sio upendo ni kumshushia hadhi kiongozi wa familia.

Nami nimewaza kwa sauti, hivi kama mwanaume na kiongozi wa familia sijui mtu hajisikii ajabu kupewa hela kila wakati kama hivi..
 
Kama vile upo kwenye mawazo yangu, mie nimeona kama vile mume wangu atakuwa na akili mgando maana hawazi chochote, kweli sikatai kumsaidia mume wangu lakini sio kwa kiwango hicho huo sio upendo ni kumshushia hadhi kiongozi wa familia.
Sawa lakin sio kihivo asee
Nimeanguka,umeninyanyua kama mumo mara ya kwanza ya pili bila kuonyesha upambanaji wangu
Haa halafu ww unanipa tu!
 
Ni aje? Nadra kupata mwanamke kama huyu leo. Tumeshaona humu kesi za mke kujenga nyumba bila mume kujua lolote na hachangii hata senti au mke kupewa mtaji na mume wa biashara kisha kuanza kibri na kumdharau mume pale biashara inapochanganya. Anastahili kusifiwa huyu kwa moyo wake wa kuweka mbele familia yake badala ya kuwa mbinafsi hivi ndiyo maisha ya ndoa yanataka.

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakin sio kihivo asee
Nimeanguka,umeninyanyua kama mumo mara ya kwanza ya pili bila kuonyesha upambanaji wangu
Haa halafu ww unanipa tu!
Kuna shida mahali labda kama hajamuhoji huyo mumewe lakini ukifatilia hiyo story kwa umakini utatambua shida ipo huo upande wa pili. Labda kama anaogopa kuhoji sana mume akakosa amani na yeye hapendi kumuona mumewe akiwa kwenye hali hiyo.
 
Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe

...Hiki ndicho alichokuwa akiimanisha Eli79 hapo juu.
 
Kuna shida mahali labda kama hajamuhoji huyo mumewe lakini ukifatilia hiyo story kwa umakini utatambua shida ipo huo upande wa pili. Labda kama anaogopa kuhoji sana mume akakosa amani na yeye hapendi kumuona mumewe akiwa kwenye hali hiyo.

Hilo ndojibu wajina
 
Kabisa maana atakuwa ashalizwaga vzur sana [emoji13][emoji13]
Sema ni bst angu
Hata sisi ni best yetu ndio maana tunataka apate msaada wa haraka ili asiendelee kumsumbua babu yetu kwa upendo wake wa mshumaa [emoji26].
Cc Doris
 
Kuna shida mahali labda kama hajamuhoji huyo mumewe lakini ukifatilia hiyo story kwa umakini utatambua shida ipo huo upande wa pili. Labda kama anaogopa kuhoji sana mume akakosa amani na yeye hapendi kumuona mumewe akiwa kwenye hali hiyo.
Ogopa sanaa mtu mpoleee
Mkimyaaaa
Huenda jamaa ana mjengo wa maana huko au mradi ambao anaenda kuzitupa hizo ela
 
Kwanza mie shapotezea uzi huu
Maana lugha aliotumia
Sio mbongo lazma atakuwa mkenya
Angekuwa mbongo angerudisha
majibu hayo wee
 
Ogopa sanaa mtu mpoleee
Mkimyaaaa
Huenda jamaa ana mjengo wa maana huko au mradi ambao anaenda kuzitupa hizo ela
Hata sisi huo ndio wasiwasi wetu japo watu hawatuelewi kwanini hatukubaliani na anayofanya
 
Kwanza mie shapotezea uzi huu
Maana lugha aliotumia
Sio mbongo lazma atakuwa mkenya
Angekuwa mbongo angerudisha
majibu hayo wee
[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona nampea imekuchanganya
Ndio mie kuna mahali nilisema hii nampea not applied bongo labda Kenya [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…