Sio kwamba nasema sitotoa but not only me na yeye biashara haileti matunda natoa tu. Si kwa usawa huu plspole dada yangu.....Inapobidi kutoa pesa kwa ajili ya familia ni vizuri kama unayo
Kuna shida mahali labda kama hajamuhoji huyo mumewe lakini ukifatilia hiyo story kwa umakini utatambua shida ipo huo upande wa pili. Labda kama anaogopa kuhoji sana mume akakosa amani na yeye hapendi kumuona mumewe akiwa kwenye hali hiyo.
Hilo ndojibu wajina
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]ushakuwa chuma ulete maskin sahau maendeleo hapo😉
Nilikuwa naona uvivu kuandika gazeti ila comments zako zimenivutaSawa lakin sio kihivo asee
Nimeanguka,umeninyanyua kama mumo mara ya kwanza ya pili bila kuonyesha upambanaji wangu
Haa halafu ww unanipa tu!
Sio kwa cheche hizo mamie alizomwaga.umeona eh mamy!yaan asbh nilichekaaa nikasema ee Yesu wangu! kumbe bas sie wazima aisee! amesema yeye amaemua kushare kuuliza wenzake!si umeona vitonga walivyompa hongrai!ila kuna mwanaume mmoja tu humu kamweleza kinagaubagga!huyo nimemwelewa aisee! hahahah eti una wasiwasi na IQ! hahahahahah
Nimependa hiyo lugha changanyaChiller than a Polar bear, with that modern Fred Astaire savoir-faire that you can't dare compare...
Kabisaaa lolhahahahhahahhhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaa umetisher shoga! hahaa dah leo mie had kichwa kinauma miss chagga ndg yako mwingine huyu hapaa
Haha nilikuwa naona uvivu kuandika, maana nishazoea mijigazeti mweehNilijua tuu Heaven Sent yamekukaba ila asanteh kwa kusema neno
mkuu mie siitwi Fred!
Mie mwenyewe namsubiria mume wangu, nitalalaje wakati mume sijamuonaHeaven Sent , Nalendwa Neybright tafadharini laleni! nyie mko chini ya himaya ya waume zenyu kwann mmpo onlin jaman! mbn mafundisho ya Heloo mliyapuuza? jaman!eish tumechoka kusema jaman ! mie namsubiri mtukufu wangu mume ! nyie je?
Mie mwenyewe namsubiria mume wangu, nitalalaje wakati mume sijamuona
Haha itakuwa ndo zile ndoa zisizo na furaha. Haha Pampula hajarudi tu? [emoji87] [emoji87]Heaven Sent , Nalendwa Neybright tafadharini laleni! nyie mko chini ya himaya ya waume zenyu kwann mmpo onlin jaman! mbn mafundisho ya Heloo mliyapuuza? jaman!eish tumechoka kusema jaman ! mie namsubiri mtukufu wangu mume ! nyie je?
Una ushauri mzuri hadi raha.Nilikuwa naona uvivu kuandika gazeti ila comments zako zimenivuta
Kwa opinions zangu, mume wa ndugu yetu hana "pride na ego" ile ya kiume. Kwamba mwanaume anafeel proud kutokwa jasho kuhakikisha familia inapata mahitaji yote ya muhimu. Kuwa mwanaume haimaanishi kuwa hutokwama, ila unaweza ona jinsi shemeji alivyo comfortable kupokea hela kwa mkewe anytime akipata misukosuko without kupambana kwanza kiume. Yani ameshazoea nikikwama tu mke yupo, afu at the very same time hamuhurumii mkewe kwamba mke wangu kila hela nayompa anakataa ila still biashara ikikwama anajitoa kuhakikisha mambo yanarudi kwenye mstari. You can read kati ya mume na mke nani anaenjoy "kutokwa jasho" kwa ajili ya hii familia. Naona kama ni kumlemaza mtu sijui vile, mume anakuwa over dependent kwa mke mmh. Nilitaka hadi niulize ni kabila gani, maana nimehisi ni mwanaume wa Pwani ([emoji134]).
2. Mume sijui ni a bit selfish. Mke anayekusupport kama huyu, me sijui ningemfanyaje aisee. Ameshaona how many times mkewe amesacrifice dreams zake kwa ajili ya dreams zao wote. Hivi uchumi ukiwa stable, kwa nini asimfanyie mkewe kasurprise kwamba mke wangu eeh najua unadream hii, nimeona nikusupport kwa njia hii. Au mwanaume tu ndo anatakiwa kusupportiwa? Deep down mpendwa wetu anatamani kuachieve some of her dreams, lakini ndo hivyo tena. Mume mbona hamsupport mkewe kutimiza hizo ndoto zake ilhali anazijua before hata hawajaoana? Emoj una dreams zako, go after them muda huu huu, watoto watakapoanza shule mambo yatakuwa mengi zaidi ila uzuri na wewe utakuwa umeshasimama so mtaendeleana kupeana assist.
All in all, hapa ndo naendelea kuamini ule usemi kuwa "oa/olewa na yule mnayefanana/kuendana naye". Maana wanandoa wengi as long as mwanaume anaprovide basi mengine ni ya ziada (sad), sasa huku mwenzetu ndo kama anatunza familia na mambo ni rahaaaa. Hawa wamekutana ni watu wanaoendana kwenye choices zao ndo maana wana furaha tu. As long as mnafurahia ndoa yenu, basi endeleeni hivyo hivyo. Kwa sababu wote tunahangaika wee ila mwisho wa siku tunategemea kupata furaha kutoka katika hayo mahangaiko yetu.
Ila sijaelewa kwa nini ni kama unadoubt unachokifanya. Ukiona unafanya jambo afu unatafuta justification kwa watu, basi jua kuna katatizo somewhere. Maisha ni nyie mnavyochagua, mmechagua kuishi hivyo ni sawa tu, usitafute justification kwenye ndoa nyingine coz hazifanani na zako, kwanza wanawake kama wewe sijui ni masalia ya wahenga, mpo wachacheee, so wengi tutakudiscourage. It's a partnership not a community project; just do you. Kila mtu anapambana na ndoa yake kwa style yake, pambana kivyako. Kila la kheri kwenu
Haha itakuwa ndo zile ndoa zisizo na furaha. Haha Pampula hajarudi tu? [emoji87] [emoji87]
Haha heshima yake pampula. Check comment [HASHTAG]#544[/HASHTAG]hahahah hizo hizo shoo!pampula hajarud naona mwenzangu hajaamua kumwachia!ngj nisugue goti hapa!lol! pls nitag kwenye comment yako ukwel siion
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha itakuwa ndo zile ndoa zisizo na furaha. Haha Pampula hajarudi tu? [emoji87] [emoji87]
Haha tunawasubiri kina pampula wetu warudi. Daah kweli kila mtu anapambana na ndoa yake kivyake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa zinazopumulia mashine, kuna mtu alitunanga mchana