Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
[emoji120] [emoji120] usiku mwema mchagga weweUna ushauri mzuri hadi raha.
Congrats
Jesus is my saviour and a friend
Heaven Sent , Nalendwa Neybright tafadharini laleni! nyie mko chini ya himaya ya waume zenyu kwann mmpo onlin jaman! mbn mafundisho ya Heloo mliyapuuza? jaman!eish tumechoka kusema jaman ! mie namsubiri mtukufu wangu mume ! nyie je?
Nights too swts, kama unaendelea kukesha mkesha mwema piahahahaha nimeuona mamy@heaven sent umemaliza nhakuna hata cha kujazia hapo! barikiwa mama mtumishi! n gnt to you
HAHAH!, basi kuna watukufu wengi wanasubiriwa mamie, si unajua tena usingizi haupandi bila wao.
Hakulaliki mpaka u make sure kala kashiba! [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha itakuwa ndo zile ndoa zisizo na furaha. Haha Pampula hajarudi tu? [emoji87] [emoji87]
Acha nilale lol, nisije ota nimeanza kutoa hela nipige ukunga bureee[emoji120] [emoji120] usiku mwema mchagga wewe
hahahah hizo hizo shoo!pampula hajarud naona mwenzangu hajaamua kumwachia!ngj nisugue goti hapa!lol! pls nitag kwenye comment yako ukwel siion
HAHAH!..aaaah!, nyie watu mkiachwa mie simo.
Eti nani hajarudi?!! mbavu zangu mie..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
espy mwenzetu naona Pampula wake karudi! [emoji28] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa zinazopumulia mashine, kuna mtu alitunanga mchana
Haha tunawasubiri kina pampula wetu warudi. Daah kweli kila mtu anapambana na ndoa yake kivyake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24]
Mbiti sio kwamba huoni comment shoga itakuwa usingizi, mwenyewe hata sijielewi hapa kama nacheka au nalia, niko hoi bin taaban! [emoji72]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha umenikumbusha comment ya Madam Mwajuma jaman nimechekaaa hapa kichwa kinauma !amemwambia ampe penzi,, ampe na hela kama kawaida yake na kumnawisha mikono kwa maji ya vuguvugu akimaliza kula !then amruhusu akamtembelee nyumba ndogo yake aliyojengea ghorofa hahahah
hahahaa unaikumbuka hyo katuni ya pampula?hahaha ndo hubby wangu lol! haah tuachike tupaukeeeeeeeee naudhikaga huu msemo eti oh sasa ushazaa unataka kuachika uende wapi hahaha! huwa nakwazikaa
hahahahahah uwiii jaman mie sitak kucheka eti hujui km unacheka au unalia ahhha tulale mamy!mie nimechoka kweli kweli!luv you all
Hahah!, Khaaaa!
Hebu watuache, kwani Gym zimefungwa milele?
Hawajaona mtu unapiga tease, unapendeza na mpaka unarudia hali yako kabla huja visit labour?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwiii!, Hahah!
Mbona tuna Kazi!!! [emoji28]
hehehhee hachuji mtu nasema ! hachujiiii
nimecheka mno mno
Kwa kweli! [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Haki ya nani, mmenishindwa kwa kweli..[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app