Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Itakua una moyo tu wa kutoa sana kuliko kupokea, hivi huna mdogo wako mwenye chembechembe kama zako?

sent from my Tecno W3
 
Hongera sana una moyo nzuri . natamani sana familiar yangu ingekua hvyo 😔
 
naomba namba ya mume wake anielekeze kwa mganga wake tafadhali,, kuna lishanagzi lina mzigo hapa mtaani nataka ni seto
 
Hahaha
 
Huyu mwanamke naomba serikali imtambue kama mwanamke wa taifa 🤝
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…