Bado bado unadai mbona [emoji2957]Shukrani Mjukuu
Bora tumezeeka sasa [emoji847]
Hahaha..........nadai wapi wakati Babu yenu nimezeeka hadi macho 😜Bado bado unadai mbona [emoji2957]
Sasa babu ungenionaje bila kuniambia lkn [emoji20][emoji20]Hahaha..........nadai wapi wakati Babu yenu nimezeeka hadi macho [emoji12]
Leo nilikuwa Miami hapo Samora nikahisi labda ningekubahatisha kukuona, lakini haikuwa bahati yangu [emoji119]
Nilienda Kwa yule Balozi wa nyumba 10 kumi kukuulizia Kwa jina hilo eti 🙆Sasa babu ungenionaje bila kuniambia lkn [emoji20][emoji20]
Nakutumia.Nilienda Kwa yule Balozi wa nyumba 10 kumi kukuulizia Kwa jina hilo eti [emoji134]
Kweli nimezeeka [emoji847]
Nipe anunani ya Mtaa mliohamia ili nikitoka Dodoma nishuke hapo
Sawa, Jumatatu nitakuwa hapoNakutumia.
Sawa babu, karibu sana.Sawa, Jumatatu nitakuwa hapo
Niandalie yale mazaga ya pale viwanja vya CCM, nimeyamisi sana kusema kweli
Shukrani MjukuuSawa babu, karibu sana.
Mimi huwa nanunua kwa 8k.Shukrani Mjukuu
Kwani bei ya kilo Moja si bado ile ile 9k?
Sawa, huenda waliniona mgeni wakanipandishia beiMimi huwa nanunua kwa 8k.
Sijajua sasa ilikuaje ila mimi nina kawaida ya kula vibanda viwili tu na bei ndio hiyo. Labda wanatofautiana bei kila mmoja na yake.Sawa, huenda waliniona mgeni wakanipandishia bei
Hahahahaha. No commentWe unapenda Cha asubuhi😅?
HahahahahaSiku ukigundua Mimi ndiondio mama swalehe,utalia sanaaaa😁