Sipendi tabia ya shemeji yangu

we mnafiki kwanini humsemei unapenda na atakutia kwa taarifa yko
 
Jamani trust me mie wala sipendi

NE;
Vipi yule mume wa jirani uliyekuwa ukimfatilia...na baadae ukatuletea hapa jamvini matokeo baada ya kumpata MUME WA JIRANI yako, kwa hili la leo SIKUAMINI HATA CHEMBE KWA USEMAYO.
 
Acha uongo bana,we sema unampenda shemeji akiwa anatembeza vidole unasikia raha?aki ku do utujulishe tena kaanza vizuri sana tunasubili finishing.
 
Call a spade a spade! Kama unaogopa kuwagombanisha hao marafiki NGOJA HUYO SHEMEJI YAKO AKUGOMBANISHE NA JAMAA YAKO!
 
NOT ENOUGH, can you read between the lines the messages you this jamvi? You are accused.... then clean your self, act fast....
 

Kama ni kweli,umekaribia kumpa.
 
Asaanteni wote mliotoa ushauri wa maana, kuna wengine wametoa ushauri mbaya ETI nimpe, I cant do that. Nilicho amua nataka nimkamaishe live akianza kamchezo kake.

Nitasubiri Mr akituacha akisha anza tu mi natulia then namtumia mr text aje amwone live

Thanks so much ila KIDUDE changu sitoi ng'o
 


NE kama kweli umeamua hivyo that is good.... wish you luck ...
 


So you are waiting for the next round??
 
Inaonekana unapenda sana...lipiza kwa kumshika na wewe
 
Kikipita kichwa tu!! Basi mwili mzima umepita haya!! Shauri yako!!! We subiri kichwa kipite
 
Hapo nilipobold hapo ndio penyewe.................. yaani some pipo sometimes.....nomaa

jamani hii picha inaleta sana shangwe moyoni mwangu.
eeh mungu nijalie na mie nipate kama huyu siku moja.

so inocent.


 


Hutoi lakini si kinachezewa au.......
 
Mtwange Ngumi
Mshenzi sana huyo..
Sipendi wanaume wenye
madharau kwa wanaume wenzao..
yaani hapo anajaribu kuona kama atachukua
mali ya rafiki yake .. nawe naye umeshindwa nini
kumchapa kibao .. ukizidi kumwachia hivyo ataona
na we unataka...
 
Shem umeamua kunisemea hapa JF lakini na wewe mbona huwa hukwepeshi nikikushika kule nani au kukuguza mguuni. kwetu mwanamke ukiona amenyaza maanake amekubali
 
Haiwezekani kabisa mtu akaanza kukupapasa bila ridhaa yako aidha unapenda au kakuona unaingilika.Kwa mwanamke wa kawaida huyu jamaa angeambulia kofi na kumwagiwa kinywaji na angeondoka hata kabla ya jamaa kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…