Sipendi ujinga mimi...!!!

Sipendi ujinga mimi...!!!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Mtanzamo tu
Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya Mwendokasi.
Sipendagi ujinga mimi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]


------
Mwanafunzi wa kike wa form 3 kaniuliza swali eti kwa nini sperm ni nyeupe?
Nlipoona sina upepo kulijibu nkamgeukia nkamuuliza ulizionea wapi ww mwanafunzi !? [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] saiz kesi ipo ofic kuu staki ujinga mmimi!!
 
Mdada: Hivi uliisoma ile meseji nilokutumia jana?
Mkaka: *Ile uliyoniomba laki moja* [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]?
Mdada: *Ndio* [emoji3]
Mkaka: *Bado sijaisoma*

Sipendi ujinga mimi!! [emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom