UMETISHAMwalimu kaingia darasani na kusema "wanaojijua wajinga wasimame"
Mimi nikasimama peke yangu
Mwalimu;. Wewe ndio mjinga??
Mimi;. Hapana nimeona umesimama peke yako nikaona usijisikie vibaya nikaona angalau tuwe wawili.
Ha hahahahaha sipendagi ujinga mimiLeo nilipo ingia jikoni nikamuona *sisimizi* mmoja kwenye kabati nikamuwekea *visukari* kidogo mbele yake akaanza kulamba na baadae kidogo akaenda kuwaita wenzake. Alipoondoka me nikaifuta ile sukari ili wenzie wamwone *muongo*.
*SIPENDAGI UJINGA MIMI* [emoji35][emoji35][emoji35][emoji12]
π‘π‘π‘π‘π‘Nimemuaga wife wangu nakwenda mbeya kikazi, kumbe nlikuwa na mchepuko tu dah sasa asubuh tumepanda daladala toka tegeta kwenda Posta na mimi kujifanya kauzu namuuliza,
Baby umenifata mpaka uyole huku!!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipendagi ujinga
Zimetabiriwa hizi kwenye kitabu gani?1. Mugabe quotes
2. Mungu anakuona/waona
3. Sipendi ujibu
Hizi ni ishara za mwisho wa dunia.
ahahahaaaaNimenda kudonate damu... nimemaliza naambiwa biscuit na soda zimeisha...
nimeondoka na damu yangu.
Sipendagi ujinga mimi
Sipendi ujibu?? Acha ujinga ww1. Mugabe quotes
2. Mungu anakuona/waona
3. Sipendi ujibu
Hizi ni ishara za mwisho wa dunia.