Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Tujifunze kutoa wandugu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji35][emoji35][emoji35]hatupendi ujinga sisi
hhahahahah we jamaaaaaaa umetisha.....saanaJamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Tujifunze kutoa wandugu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji35][emoji35][emoji35]hatupendi ujinga sisi
UTAMU WA NYUMBA ZA KUPANGA!
Jana mpangaji mwenzang alikuja
akaniambia nipunguze sauti ya radio
anataka kulala.
Leo anapika pilau na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya viungo nataka kula ugali wangu. sipendi ujinga ajue.[emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Tujifunze kutoa wandugu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji35][emoji35][emoji35]hatupendi ujinga sisi
🙄🙄🙄 Apunguze bhanaLeo anapika pilau na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya viungo nataka kula ugali wangu. sipendi ujinga ajue.