Sipendi ujinga

[emoji2] [emoji2] [emoji38]
 
Mwalimu wa zamu wa kihindi alinituma niende darasani halafu nirudi na Kassim, mi nikaenda nikachukua kasimu ka Mwl. Aliyekua anafundisha nikampelekea mwl. wa zamu, ile na fika tu akaniuliza; wapi iko Kassim , nikamwambia haka hapa.

"Sipendagi ujinga wa kutumwatumwa Mimi"
 
*Naingia kwa daladala kondaa ananidai nauli nampa elfu kumi, ananiangaliiiiaaaaa ananiuliza huna pesa nyingine boss??*

*Mimi naingiza kwa mfuko nachomoa tena elfu kumi nyingine...*

*Sipendagi ujinga nikiwa na hela mm* [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo asubuhi kuna mtu kanitumia text inbox, "Mambo vipi Admn please add these two numbers 0712 173 610 0758 251 890.

Nimemjibu:
0712 173610 + 0785 251890 = 1,470,425,500.

Sipendagi ujinga mimi [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Jinsi ya kuondoa pattern lock kwenye cm ya mumeo/mpnz wako..........!!!

Kwanza muwekee maji ya kuoga akienda kuoga chukua cm yake iweke chaji kwa angalau asilimia 80 kisha muandalie chakula akishakula kaeni angalieni Tv kwa saa 2 mukipiga story za kujenga kisha kaitoe cm mpe mwenyewe cm yake utakuwa umejifunza jinsi ya kumuhudumia mumeo shenzy sana.............

[HASHTAG]#Unataka[/HASHTAG] kuona nini kwenye cm umbea tu utakufa kwa presha cheza nafas yako, michepuko n matokeo ya uzembe wako tu![emoji85][emoji85][emoji85]‼ sipendagi ujinga mm
 
_[emoji41] *Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]_

*Mniache mimi sipendi Ujinga Ujinga [emoji125]�[emoji125]�[emoji125]�[emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
```Walimu wengine bhana!```

*_Eti ananiuliza swali ili kuona kama najua lugha ya Wazazi wangu_* [emoji15]

```"hivi M'bu mnawaitaje kule kwenu,"```


*_Nikamjibu_* ```{huwa hatuwaiti ila wanakuja wenyewe}```

[emoji3][emoji3] _Nasisitiza sipendagi ujinga mimi._
 
[emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…