Sipendi wanawake ambao Makalio yao hayatikisiki

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Unakuta mwanamke hata akivaa khanga moja tako hata halitikisiki. Sijui inasababishwa na nini ila mimi sipendi tako unakuta limeganda tuu kama la mwanaume.

Pia hiki kimekua chanzo cha kuachana na Mchumba wangu wa zamani kila nikikaa naye au kutembea naye maeneo naona naingiwa tamaa za kuwatazama wanawake wenye makalio yanaotikisika.

Nilienda kwa Daktari akaniambia ni swala la kisaikolojia na kwa sasa bora tu nitizimize matakwa ya moyo wangu.
 
Pole sana mkuu sasa utapenda wangap mana wapo wengi kweli
 
yaweke hydraulics mkuu yatashake kama lowriders
 
Mnaohitaji kusaidiwa mko wengi aisee,nyie ndo magufuli alisema mkamatwe mpelekwe mashambani mkalime.s.hen..zi s@na
 
Kama shida ni kutingisha mpe gongo au viroba achambie kila aendapo haja. Baada ya muda tu utayaona yanavyo 'vibrate' mpaka utamuonea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…