Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

My first job ass teller nilianza na 500000,take home nikawa nachukua 395000,Kama sikosei baada ya probation take home ikawa 425000,baada ya miaka miwili ilipanda Hadi 500000,nikapata promotion kutoka teller Hadi digital/agency banking nikapanda Hadi 990000 take home after plus bonas,allowance,per diem nilikua nachezea Hadi 2m ndo hivyo tenaa kibaru kikaota nyasi,ilaa usitegemee kuanza kulipwa milioni kwa first ajira never,lazima uprovuuu je ulicho nacho kina hazi ya kulipwa 1000000,Tena wewe utapewa loan officer,usiombeeee itakutokea puani.utatembea na jua na mvua,utakutana na sisi wabishi wakulipaa madeni ndo utaelewa
 
Ndugu, Bora ningepata hio laki nane, fursa nyingi napata microfinance, na wanataka niwe tayari kuanza na shilingi laki tatu na nusu. Sasa nawaza, maisha ndio yatakuaje? Hio Nile, nipange, niende saloon, nitoe sadaka kha
Ndugu kuna kazi mshahara mdogo marupurupu ni mengi zaidi ya mshara,na unaweza usiuguse mshahara wako were dharau hiyo ndogo wakati hujui mbele yake kuna nini?
Nakwambia hivyo sababu nimeona kwa mtu wangu wa karibu,nae mshahara ulikuwa laki tatu,lakini alivyoozea mazingira alikuwa anakaa hata miezi 3 bila kuugusa mshahara wake!so usikariri maisha,hayana formula.
 
Mkuu itandike hiyo degree na vyeti vingine ukutani.
Na ukivitazama sana lazima cheche za noti zitaanza kutoka.
 
Hatufanani mkuu mitaji ikiwepo ya kushiba hivyo vyeti fungia kabatini akili ni kuigeuza elimu kuwa pesa
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu shida ya sisi vijana tunataka mafanikio chap chap kama ana mtaji apige business zake sema kwanini tukianza kula hizo 2.5m 4m madili yanakufa asee tumelogwa[emoji23]
 
Ndugu, Bora ningepata hio laki nane, fursa nyingi napata microfinance, na wanataka niwe tayari kuanza na shilingi laki tatu na nusu. Sasa nawaza, maisha ndio yatakuaje? Hio Nile, nipange, niende saloon, nitoe sadaka kha
Kumbe ni wa kike ww... Ndio maana
 
Ukitaka yote hayo jiajiri mwenyewe utapata hayo unayoyataka. Mm nimeamua kujiajili na si haba napata faida ya kuanzia laki 6 hadi milioni kwa mwezi na mda mwingine inazidi
 
Daah! Mwaka Jana tu nimetoka ongea na Mdogo wangu juu ya hizo Ndoto za kujitanua kwa kuwa amemaliza degree so anahitaji salary kubwa ya kuanza nayo but naona Maisha yamemnyoosha Sana hapa nyumbani tumemkatia service muhimu tumeacha apate msosi tu.Nguo, Vijihela vya out na mambo mengine atajijua Mwenyewe, Maisha ni Mwalimu Sana ujue ,so ikabidi ajiongeze atafte par t- time pahala flan pamoja na degree hiyo amekubali wanampa nauli Tsh 300. Sasa wewe na hiyo kadree kako ka makalculations yasiyo na maana endelea kuringa tu,utakuta na wwnzio kwenye interviews wakuwa na CPA,ACCA na ndio wataupata huo Take-home milioni Moja.
 
Ungekua na akili ungesoma engineering au medicine sio izo course za third class !!
First appointment lazima wakubane utake usitake
 
Subiri loan boad watakupa akili watakapoanza kukumbusha kulipa makayo yao ya mwezi ambayo hujui unaipata wapi na lini!
 
Ukitaka yote hayo jiajiri mwenyewe utapata hayo unayoyataka. Mm nimeamua kujiajili na si haba napata faida ya kuanzia laki 6 hadi milioni kwa mwezi na mda mwingine inazidi
Umechagua nji sahihi sana!.Nakupongeza
 
Hata jio ni ndogo sana maana hapo unazungumzia kama basic ya 2m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…