Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji wa ubongo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411


Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji wa dharula katika ubongo wake ili kuondoa damu iliyovuja

> Kwa mujibu wa jopo la Madaktari wamesema upasuaji huo umefanikiwa kwa asilimia kubwa na sasa anahitaji muda wa kumpumzika

> Familia yake imesisitiza kuwa suala hili ni binafsi

========

Sir Alex Ferguson has undergone surgery today for a brain haemorrhage. The procedure has gone very well but he needs a period of intensive care to aid his recovery.

His family request privacy in this matter.

Everyone at Manchester United sends our very best wishes.
 
Mungu ukupe afya tele cocha wangu mpendwa,kamwe hautasaulika.
 
Get well soon our legend manager.
 
Mungu akujalie Heri ewe kocha bora wa muda wote.
"Kocha bora wa muda wote??" Hii ndio tunaita word to word translation. Hizi wanazifanya wale watangazaji form 4 kwa kukosa umahiri wa lugha au ukilaza wao, ulitakuwa useme "Kocha bora kupata kutokea" ucha ukilaza wa kina shaffi Dauda!
 
"Kocha bora wa muda wote??" Hii ndio tunaita word to word translation. Hizi wanazifanya wale watangazaji form 4 kwa kukosa umahiri wa lugha au ukilaza wao, ulitakuwa useme "Kocha bora kupata kutokea" ucha ukilaza wa kina shaffi Dauda!
Kila mtu ana Uhuru wa kuamini anavyotaka, kwa hiyo usinipangie cha kusema. Wewe ni nani kwangu hadi upange imani yangu?
 
Mwenyenzi Mungu ampe afya njema na aipe familia yake nguvu # Arsenal fans
 
Hii ingekuwa Afrika...sasa hivi tungekuwa tushafunga turubai...na watu wangeshaanza kusogea...Mungu amjalie apone haraka
Au ma speaker na nyimbo za injili zinapigwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…