Sir Chande: Nilivyopata uongozi Freemason

Freemason ni giza totoro. Anajifaragua hapo ili apate Wateja Lakini ukweli ni kuwa Freemason ni kuuana tupu na hakuna ataeweza eleza hivyo ni mpaka mtu uingie mwenyewe au alieko aasi ndo ataweza sema ukweli
 
Nana mbona kama una details za kutosha ...tushirikishe
 
Nana mbona kama una details za kutosha ...tushirikishe
Ukifuatilia facts kutoka kwa baadhi ya watu waliokuwa Freemason watakwambia ukweli. Niliwahi kuwa na kitabu cha mtu aliekuwa member wa Freemason, kaeleza kila kitu kinachofanyika huko
 
Ukatae ukubali Jesus Christ is messiah uko kwingine unakua mfwasi wa foolish man(lishetani) over, Yesu Yesu Yesu kwa Mungu kuna kila utajiri hallelujah.
 
Dah, dunia hii

Unaanzaje kujiingiza freemason kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…