Sir David Attanbrough

Sir David Attanbrough

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
3,699
Reaction score
8,857
Kuna watu wanavipaji vya kusimlia. Sauti zao na mpangilio wa maneno yanayotoka mdomoni vinaweza kukufanya usikilize zaidi hata ambacho ukutaka kukisiliza.

Ikiwa kuna watu 3 duniani wenye vipaji hivyo basi Sir David attanbrough ni miongoni mwao.

20220506_162515.jpg
 
Kasimulia nini huyu
Umewahi kusikia hadithi ya Akajase mbamba au Ua jekundu enzi zile aliyekuwa anasimulia.
 
Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough,
 
Juzi nimesikiliza documentary yake anaelezea jinsi mazingira yanavyojirudi yenyewe.
 
Juzi nimesikiliza documentary yake anaelezea jinsi mazingira yanavyojirudi yenyewe.
Unakuwa unajisikiaje vile midomo ya huyu mzee anavyopangilia maneno, sentence na sauti yake vilee. 😊
Definitely mzee ana talanta.
 
asisahaulike wa mkanda wa Yesu wa kiswahili.
 
Back
Top Bottom