let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Jina sahihi ni David AttenboroughHebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough,
hapana, sijawai ila nina hakika awezi mfikia huyu mzee.Kasimulia nini huyu
Umewahi kusikia hadithi ya Akajase mbamba au Ua jekundu enzi zile aliyekuwa anasimulia.
Broughattan, hapo vipi?Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough,
Unakuwa unajisikiaje vile midomo ya huyu mzee anavyopangilia maneno, sentence na sauti yake vilee. 😊Juzi nimesikiliza documentary yake anaelezea jinsi mazingira yanavyojirudi yenyewe.