Sir. Lewis Hamilton kashinda P1 kwenye Grid ya Mexican GP

Yule dogo chipukizi hajashinda au hakushiriki
Kimi, yupo number 4.
Tatizo Hawa Jamaa wanaachana milliseconds. Mfano Lewis hapo ukatumia dk 1 sekunde 16 na Mil sec 514 kwahiyo kampita Kimi kwa tofauti ya Mil sec 200 hivi. Ni kama speed ya kublink macho
 
Verstappen unamuita chipukizi. Msanii unadharau sana. World Champion mara Nne (2021, 22, 23 & 2024)
Kaka huyo ni WA juzi unafahamu Hamilton yupo langalanga tangu mwaka Gani
Verstappen unamuita chipukizi. Msanii unadharau sana. World Champion mara Nne (2021, 22, 23 & 2024)
Achana na mambo ya ushindi, hata yamal kwa sasa ni mshindi mbele ya Ronaldo na mesii lakini haiondoi yamal ni chipukizi.

Hamilton kaingia formula one 2007 verstappen kaingia formula one 2015 mi nikiwa mtu mzima lakini enzi za Hamilton nilikua mtoto, sasa unapo muweka verstappen na Hamilton sahani Moja unakosea heshima Hamilton sana mana huyu ni lol model wa huyo unaemuita mkongwe ni makosa kaka tujifunze kuwaheshimu malegend.


Chi benz alikasirishwa na mtangazaji alie muweka proffesor jay na wasanii chipukizi eti hawahoji hiyo ni dharau na kutoka kua na heshima chid alichukia balaa, wape legends heshima Yao mtoto wa 2015 unamlinganisha na Hamilton alieanza 2007 kweli? Yani huyu verstappen kaanza mboo enzi za wakina Instagram unamlinganisha na Hamilton mkuu?
 
Toa upumbavu wako hapa verstappen sio chipukizi kwenye F1
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…