Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Jamaa anatafuta verse hapo kabla hajaingia studio...... kila siku huwa nawaambia vijana shortcut is always a wrong cut, ukiimbia shule trust me at some point in your life lazima uje uregret
Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo.
Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya busara kwa best yake.
Leo..amepost hiyo picha huko Insta.
KR alikuwa Jembe sana....sana yaani...kama amefikia hatua hii ni msiba mkubwa.Jamaa anatafuta verse hapo kabla hajaingia studio...... kila siku huwa nawaambia vijana shortcut is always a wrong cut, ukiimbia shule trust me at some point in your life lazima uje uregret
Ujana maji ya moto........Duh unga sio mzuri unawamaliza wasanii wa TanzaniaView attachment 394082