maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Hawa jamaa wamerudi na ngoma yao nyingine ya mzee wa busara part II. Wanafurahisha tu kuwaskia tena baada ya miaka mingi wamenirudisha back in time. Nature kweli kiroboto yupo vilevile na ubora wake wa sauti ni uleule. Jamaa na jumbe zao za kufurahisha wataleta ladha tofauti kwenye mziki wetu wa sasa ambao sio rappers wala waimbaji ni jumbe za kugegedana na kupakiana mkongo tu