Msikilizaji wa kwanza si huyo mleta mada? Wa pili naamini ni sisi vijana wa kipindi hicho. Tutafurahi kuwasikiliza na tunawatakia kila heri.Hao hawatopata wasikilizaji huyo jamaa yao wa south anachoma tu pesa hamna watu mule
Wimbo uko wapi?Hawa jamaa wamerudi na ngoma yao nyingine ya mzee wa busara part II. Wanafurahisha tu kuwaskia tena baada ya miaka mingi wamenirudisha back in time. Nature kweli kiroboto yupo vilevile na ubora wake wa sauti ni uleule. Jamaa na jumbe zao za kufurahisha wataleta ladha tofauti kwenye mziki wetu wa sasa ambao sio rappers wala waimbaji ni jumbe za kugegedana na kupakiana mkongo tu
tatizo wanarudi na kuondoka kila siku,msouth gani huyo boss? na kafanya nini?Hao hawatopata wasikilizaji huyo jamaa yao wa south anachoma tu pesa hamna watu mule
Usiniambie? Mbona code ngumu sana?Halafu ile nyimbo mzee wa busara huezi kuamini alikua anazungumziwa mwana FA lakjni kufungua code ndio ilikua ngumu