Siraha za Pro. Nabbi kuelekea mzizima derby

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naaam, huku makolo fc wakiendelea kurusha maneno na kuhangaika na feisal nakusahau kabisa tar 26 Wana mchezo muhimu Sana Tena wakicheza yope mbele ya KMC lazima watalala yooooo.

Ikitokea makolo wamedroo au wakapigwa kmc watakuja kulia Lia kwenye mitandao nakusema viongozi hawafai, lakini wanasahau kuwa wanajishughulisha na Mambo ya yanga feitoto nakuacha kabisa timu yao Simba kutoa hata hamasa mashabiki wa mwanza wakajaze uwanja.

Kipindi makolo wakipiga makele ya feitoto huku mtaalamu nabi fundi wa kusuka mbinu kajifungia chimbo akisuka namna gani aje ampausue azam
Hili ndiyo kosi la maangamizi litakalo kwenda kuangamiza wanalambalamba wa chamazi

1. Namba moja Kama kawaida atakaa kipa wa mpira siyo mwingine DIARA

2.Namba mbili ni yule yule SHABANI DJUMA hili halina kipingamizi Abdul sopu Ana kazi kubwa yakufanya

3. Beki namba tatu ni yule yule toto tundu mkaba Hadi kivuli nafikiri hakuna asiyejua uwezo wa huyu kijana SHOMARI KIBWANA
Japo kuwa Kuna lomalisa mzee majari Ila nabi atamuanzisha KIBWANA, hapa bwana mdogo TEPS anayo kazi kweli kweli

4.namba nne yupo beki wa mpira muite MVP BANGALA namba 5.beki akili nyingi wakuitwa Job mzee wa kazi hiki ni kitasa kweli sijui huyo Prince dube atapitia wapi??

6&8 naaaaaaam, Dr AUCHO the tank na kiungo bamia aka sureboy salumu abubakari pale kati utawaka Moto huku zawadi mauya akiwa benchi akiendelea kuusoma mchezo namna gani unavyokwenda.

7.namba Saba ataanza yesu wa kongo huku tuisla kisinda atatokea benchi, hiki chuma ni winga teleza mabeki wa azam wanayo kazi kweli kweli.

9. Ni yule yule mzee wakutetema kiboko wa makolo mzee wakupiga simu mpaka Sasa hajapokelewa na huyo mchezaji wao mgambo Phiri, hakika nabbi atampa dakika 70 mayele akaiteketese ngome ya Azam

10.mwamba kutoka burkinafaso the MVP wa asecmimosa kutoka ivorycoast namba kumi pale atacheza dakika zote 90, nategemea kuona assit au goli kutoka kwake, he is a professional na kocha wa mpira nabbi anamuamini hata mashabiki pia.

11. Leo Prof wa mpira ataanza Bernard Morrison aka Toto tundu Toto mauzi Leo Ana majukumu makubwa yakwenda kuwahukumu wauza ukwaju dakika 50 zitamtosha huku Faridi Musa aka kiungo wa mpira akija kumaliza kazi yake atakayopewa na Pro nabbi.

Timu zote zinahitaji point tatu muhimu, naziona goli za kutosha katika hii mechi yanga atashinda lakini hatoondoka na cleanshit.

NO FEISALI NO PROBLEM [emoji41]
 
Kachambe kwanza unanuka kinyesi
 
Job na Kibwana wana mazungumzo na azam. Sasa itakuwaje wapangwe?
 
Utopwax ni utopolo tu sasa SIRAHA ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…