LGE2024 Sirari: Hivi ndivyo Wagombea wa Chadema walivyorejesha Fomu za Kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi.

Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime

Screenshot_2024-11-01-14-08-12-1.png

Screenshot_2024-11-01-14-08-49-1.png
Screenshot_2024-11-01-14-08-55-1.png

Ujumbe: Watake Wasitake
 
Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi.

Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime

View attachment 3140526

View attachment 3140527View attachment 3140528

Ujumbe: Watake Wasitake
Hapa Jiji la Mwanza kuna baadhi ya kata HAKUNA mgombea hata mmoja wa Chadema amechukua fomu. Narudia kaya mzima! Mfano Kata ya Mkolani licha ya kupigiwa simu na kubembelezwa kuchukua fomu na viongozi wao, HAKUNA hata mmoja amechukua fomu kutoka Chadema.
 
Kwani wasipochukua form anayeumia nani si ni haohao wajinga wajinga.
 
Kwa hiyo wamekubaliana kuwa tume iko vizuri na hakuna haja ya katiba tena, au inawezekana mi ndio mgumu wa kuelewa haya mambo
 
Hapa Jiji la Mwanza kuna baadhi ya kata HAKUNA mgombea hata mmoja wa Chadema amechukua fomu. Narudia kaya mzima! Mfano Kata ya Mkolani licha ya kupigiwa simu na kubembelezwa kuchukua fomu na viongozi wao, HAKUNA hata mmoja amechukua fomu kutoka Chadema.
Mkuu kata ina mitaa au vijiji vingapi? Mfano Kata ya Mkolani kuna mitaa mingapi? Punguza uongo basi.
 
Ukiishauliza Kata ya Mkolani ambayo ipo ndani ya Jiji la Mwanza kuwa ina vijiji vingapi tayari inaonesha HAUNA uelewa na Suala tunalolizungumzia. Sasa nakujibuje?
 
Nimekuuliza kuwa kata ina mitaa au vijiji vingapi?
Mkolani kuna mitaa za kiuchanguzi 10...Kuna wagombea wa CHADEMA kwenye baadhi ya hizo mitaa; wewe unasemaje kuwa kata nzima ya mkolani hakuna aliechukua fomu.
 
Ukiishauliza Kata ya Mkolani ambayo ipo ndani ya Jiji la Mwanza kuwa ina vijiji vingapi tayari inaonesha HAUNA uelewa na Suala tunalolizungumzia. Sasa nakujibuje?
Kukusaida pia; hiyo attachment inaonesha jinsi inavyoandikwa kuwa ni mitaa au kijiji.
 
Attachments

  • Screenshot_20241101-203453_Samsung Notes.jpg
    Screenshot_20241101-203453_Samsung Notes.jpg
    263.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom