Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wapiga kura ni WananchiVichekesho kamwe haya wapigaji kura mnao!
Hapa Jiji la Mwanza kuna baadhi ya kata HAKUNA mgombea hata mmoja wa Chadema amechukua fomu. Narudia kaya mzima! Mfano Kata ya Mkolani licha ya kupigiwa simu na kubembelezwa kuchukua fomu na viongozi wao, HAKUNA hata mmoja amechukua fomu kutoka Chadema.Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi.
Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime
View attachment 3140526
View attachment 3140527View attachment 3140528
Ujumbe: Watake Wasitake
Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi.
Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime
View attachment 3140526
View attachment 3140527View attachment 3140528
Ujumbe: Watake Wasitake
PatachimbikaHii ni Pasua kichwa kwa MKWE MWENYE KIFUA KIPANA ..... !!
Haya majaa sitashangaa kama yatafanya yale yale ya 2019.
Ila Wakurya wana sifa hawa!Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi.
Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime
View attachment 3140526
View attachment 3140527View attachment 3140528
Ujumbe: Watake Wasitake
Kwani wasipochukua form anayeumia nani si ni haohao wajinga wajinga.Hapa Jiji la Mwanza kuna baadhi ya kata HAKUNA mgombea hata mmoja wa Chadema amechukua fomu. Narudia kaya mzima! Mfano Kata ya Mkolani licha ya kupigiwa simu na kubembelezwa kuchukua fomu na viongozi wao, HAKUNA hata mmoja amechukua fomu kutoka Chadema.
😆😆😆😆Kwani wasipochukua form anayeumia nani si ni haohao wajinga wajinga.
Wapiga kura 31m kuna ambaye hajajiandikisha? Amua moja, kusimama na data za kupika ama za kweli.Vichekesho kamwe haya wapigaji kura mnao!
Ahahahahaha!!Kwani wasipochukua form anayeumia nani si ni haohao wajinga wajinga.
Mkuu kata ina mitaa au vijiji vingapi? Mfano Kata ya Mkolani kuna mitaa mingapi? Punguza uongo basi.Hapa Jiji la Mwanza kuna baadhi ya kata HAKUNA mgombea hata mmoja wa Chadema amechukua fomu. Narudia kaya mzima! Mfano Kata ya Mkolani licha ya kupigiwa simu na kubembelezwa kuchukua fomu na viongozi wao, HAKUNA hata mmoja amechukua fomu kutoka Chadema.
Ukiishauliza Kata ya Mkolani ambayo ipo ndani ya Jiji la Mwanza kuwa ina vijiji vingapi tayari inaonesha HAUNA uelewa na Suala tunalolizungumzia. Sasa nakujibuje?Mkuu kata ina mitaa au vijiji vingapi? Mfano Kata ya Mkolani kuna mitaa mingapi? Punguza uongo basi.
Nimekuuliza kuwa kata ina mitaa au vijiji vingapi?Ukiishauliza Kata ya Mkolani ambayo ipo ndani ya Jiji la Mwanza kuwa ina vijiji vingapi tayari inaonesha HAUNA uelewa na Suala tunalolizungumzia. Sasa nakujibuje?
Kukusaida pia; hiyo attachment inaonesha jinsi inavyoandikwa kuwa ni mitaa au kijiji.Ukiishauliza Kata ya Mkolani ambayo ipo ndani ya Jiji la Mwanza kuwa ina vijiji vingapi tayari inaonesha HAUNA uelewa na Suala tunalolizungumzia. Sasa nakujibuje?