Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tumeishasema tangu awali humu JF na kwingineko kwamba, kwamba tayari ccm ishateketezwa Tarime, hili hakuna anayepinga, Sasa hivi kinachofanyika ni kukusanya mabaki na kuyapiga kiberiti.
Hapa ni Sirari leo hii kwenye kampeni kabambe ya kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Uchaguzi iliyoongozwa na John Heche ambaye sasa amepachikwa jina jipya la Mwamposa (sijui kwanini)
Toa Maoni yako