Siri 12 za kupata wazo bora la Biashara

Siri 12 za kupata wazo bora la Biashara

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
Moja ya vitu ambavyo vimekuwa vikiwazuia watu wengi kuingia kwenye biashara ni kukosa wazo zuri la biashara.
Japokuwa mawazo ya biashara yapo mengi na yametuzunguka kila tunapokwenda, imekuwa vigumu kwa wengi wetu kuweza kuyatambua na kuyafanyia kazi.
Hata wale ambao tayari wapo kwenye biashara, wamekuwa na mawazo mazuri sana ya kibiashara ila bado hawajaweza kuyafanyia kazi na yakawafikisha kwenye mafanikio makubwa.
Hapo ulipo na kwa wazo lako la biashara ambalo tayari unalo, kuna njia nyingi sana za kuweza kuliboresha zaidi. Ili kukuwezesha wewe kuja na wazo zuri la biashara na ili kukuwezesha kuboresha wazo lako ili likufikishe kwenye mafanikio, tumekuandalia kitabu PATA WAZO LA BIASHARA.
Kwenye kitabu hiki utajifunza siri 12 za kupata mawazo ya biashara. Ni siri kwa sababu sio kitu kinachoonekana wazi wazi na hata wafanyabiashara waliofanikiwa huwa hawapendi kutoa siri hii kwa watu wengine.
Wewe utapata bahati ya kujua siri hizi na jinsi ya kuzifanyia kazi ili uweze kutengeneza biashara yenye mafanikio na itakayokuwezesha kuwa na maisha bora.
Je upo tayari kujifunza siri hizi 12 za kupata mawazo ya biashara?Kama upo tayari upo tayari kugharamia kiasi gani kupata kitabu hiki kizuri?
Kwa bahati nzuri sana hutahitaji kulipia gharama yoyote. Utakipata kitabu hiki bure kwakuwa wewe ni msomaji wa mtandao huu.
Kitabu hiki kipo kwenye mfumo wa soft copy(pdf) na kinatumwa kwa njia ya email. Kupata kitabu hiki bonyeza maandishi haya, weka email yako na kisha dhibitisha kujiunga na mtandao huu, nenda kwenye email yako, dhibitisha kujiunga na ukishamaliza utatumiwa email yenye kitabu.
Fanya hima kujipatia kitabu hiki ili uokoe biashara yako au uanze biashara yako kabla hujaendelea kuchelewa.
 
Naona hata wewe umeanza kutumia wazo lako la biashara.go on mkuu
 
Back
Top Bottom