Nimesoma sana humu mtandaoni juu ya mtifuwano wa 2020 ccm.
Kiukweli mengi yana andikwa ila wengi hatujuwi nn kitatokea japo Hisia na mihemko inatutesa.
Kipo kikako kimoja tu cha siri ambacho Uwenda wengi hatukijuwi ila ndicho kitawaduwaza watu kama mlivyo duwazwa 2015.
Mara nyingi kunamsemo na upenda kuusema yakuwa ukiijuwa ccm Uwenda unaweza kufunga mdomo usiongee na kushabikia mambo yakipumbavu yasio jenga nchi.
Najuwa wachache wenu mnaham Jina lisirudi nakubadilisha upepo Yani miaka mitano ndio mwisho. Lakini mm leo nawaambia maneno haya yakuwa saa na wakati uleule Jina lilipoletwa ktk vikao vya chama na kushinda kwa kishindo ndio muda ule ule Jina lake litarudi nakupigiwa kura ya ndio nakumaliza muhula wake.
Wengi hamjuwi vile itakuwa na hata mkiambia vile itakuwa hamto amini. Lakini wengi mtalia chooni baada yakujuwa kiama chenu kimefika na sasa mnatamani kuwa wakimbizi kwa usaliti ndani ya chama chenu.
Nadhani bado hamjamjuwa mtawala na Uwenda bado hamjamjuwa even baada yake bado ikulu mtapasikia na mtapasikia mpaka kaburini. Samahani mm sio Mungu ila nendeni mkamuulize Raila Odinga nendeni Mkamuulize Malechela, Nendeni mkamuulize. Lowasa. Wale watu niwatu kutoka sayari nyingine acheni kubwatuka sana maana baada yakushangiliwa sana mtazomewa nakujiona hii mambo sio ya mchezo.
Kiufupi Jina litapita ila 2025 mtashika vichwa baada yakusomewa dhambi zenu.