Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya hizi hapa

Hakuna mwanamke wa maana anaweza kukubali kuolewa na msanii, wote ni walewale sema labda huyo Amina ana unafuu
Usanii ni kazi kama kazi nyingine..... Mbona masanja ni Mchungaji lakini ni sharobaro..... Na pia amoa hilo amlijui harafu team [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] mnashida
 
Mbona ni za kawaida sana ambazo hata Wanawake zetu wa ' Tandale ' kwa Mama ' Paka ' wanazo tena zaidi ya hizo?
 
Sasa kama ni siri wao wamejuaje hayo mambo 6!?
 
Usanii ni kazi kama kazi nyingine..... Mbona masanja ni Mchungaji lakini ni sharobaro..... Na pia amoa hilo amlijui harafu team [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] mnashida
Usanii ni kazi ya kihuni, hakuna msanii ambaye sio muhuni. Huyo Masanja ni muhuni kama wahuni wengine, ameingia kwenye uchungaji ili awapate mafala kama nyinyi apige hela
 
Vijana wa siku hizi bana!... Yani huo muda uliotumia kuanzisha huu uzi wa kidaku/kishankupe ungeutumia kufanya kazi ungekuwa mbali...nakusihi ya "Ngoswe mwachie mwenyewe""
 
demu mwenyewe anasura ya ukali atapata shda sna.
 
Usanii ni kazi ya kihuni, hakuna msanii ambaye sio muhuni. Huyo Masanja ni muhuni kama wahuni wengine, ameingia kwenye uchungaji ili awapate mafala kama nyinyi apige hela
Kutokuwa na akili Ndyo tatizo lako nahc kazi ya kihuni mafanikio kibao ww komaa kusema kazi ya kihuni wenzako wanatembelea matako we kila siku unamaliza soli............. Funguka akili ww
 
Reactions: Pep
Bush Man kavaa kama wale wafanya biashara ya watumwa Zanzibar enzi hizo
 
Beauty resides from the eyes of the beholder.
Kila la kheri bwana na bibi harusi.
Uislamu unatufundisha "ficheni uchumba,tangazeni ndoa".
 
Amina ni mzuri na nasikia mwenye dini ila Ali Kiba anafanya mambo ya Kikafiri ,mziki ni kharamu mutlaq kwa dini ya kiislam .Amina sijui umeona nini ila umepotea
Bado kama mwanamke mwema ana nafasi ya kumsimamia,kumshauri na kumsaidia mumewe kupita kwenye njia ambayo familia yao inataka.
Tuwape muda badala ya kuwahumu.Hakuna mkamilifu, na kila ndoa inakuwa na sababu aidha ya kuwaimarisha wenza au vinginevyo.
 
Ha ha ha...mkuu, familia hizo kuziingia hakuhitaji fedha mara zote,bali kuwa na access nazo nayo ni njia bora zaidi.
 
Ndoa hazina experience wala uvumilivu au usomi

Ukitaka kujuwa ngoja waishi miaka sita, ulete mrejesho hapa.

Kudeal na wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…