Siri hizi za Wanawake

Siri hizi za Wanawake

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421
Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.

Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo zake, viatu na hata madawa huwa na gharama halisi ya asilimia 20 zaidi ya ile anayomweleza mwenzi wake? Kwa mfano anaweza kumwambia mwenzi wake kanunua kiatu kwa shilingi 8,000, lakini ukweli halisi wa bei ya kiatu hicho alinunua kwa shilingi 10,000! Mara nyingi wanawake hutaja bei ya chini ya vitu vyao wanavyonunua kwa waume zao ili wasionekane waharibifu wa fedha au kuepuka kuzua zogo bure na wenzi wao.

Je ulikuwa unafahamu kuwa wanawake wanakuwa wawazi zaidi kwa mashoga zao kuliko walivyo kwa wapenzi au waume zao? Kama ulikuwa hufahamu juu ya hilo, basi kwa taarifa yako ni kwamba ni rahisi sana wanawake kuaminiana kiasi cha kuelezana siri zao kama ni marafiki wanaoaminiana sana. Huweza kuwaeleza marafiki zao kuhusu hata mzozo mdogo unaotokea kati yao na wapenzi wao. Kuwaeleza kuhusu vile wanavyotendewa na wakwe na mawifi zao. Kulalamikia jinsi wapenzi wao wanavyoonekana kuthamini zaidi burudani fulani kiasi cha kutumia muda wao wote huko.

Nitaendelea kuweka siri zao nyingi hapa!
 
sasa ukitaka kujua zaidi mtongoze shoga yake. Lkn uhakikishe unamega. Ukishindwa inarudi kwa mkeo.
 
You have your own emotional buggages from your childhood, sort them out first before you deep your nose into other peoples lives!
 
Duh mbona mie nazidishaga bei, hii inanitofautisha na hao wanawake?
 
Jifunze matumizi ya neno baadhi...kwasababu tu waliokuzunguka ndivyo walivyo haina maana ndivyo ilivyo kwa wanawake wengine wote!!
 
Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.

Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo zake, viatu na hata madawa huwa na gharama halisi ya asilimia 20 zaidi ya ile anayomweleza mwenzi wake? Kwa mfano anaweza kumwambia mwenzi wake kanunua kiatu kwa shilingi 8,000, lakini ukweli halisi wa bei ya kiatu hicho alinunua kwa shilingi 10,000! Mara nyingi wanawake hutaja bei ya chini ya vitu vyao wanavyonunua kwa waume zao ili wasionekane waharibifu wa fedha au kuepuka kuzua zogo bure na wenzi wao.

Je ulikuwa unafahamu kuwa wanawake wanakuwa wawazi zaidi kwa mashoga zao kuliko walivyo kwa wapenzi au waume zao? Kama ulikuwa hufahamu juu ya hilo, basi kwa taarifa yako ni kwamba ni rahisi sana wanawake kuaminiana kiasi cha kuelezana siri zao kama ni marafiki wanaoaminiana sana. Huweza kuwaeleza marafiki zao kuhusu hata mzozo mdogo unaotokea kati yao na wapenzi wao. Kuwaeleza kuhusu vile wanavyotendewa na wakwe na mawifi zao. Kulalamikia jinsi wapenzi wao wanavyoonekana kuthamini zaidi burudani fulani kiasi cha kutumia muda wao wote huko.

Nitaendelea kuweka siri zao nyingi hapa!
sawa mtambuzi
 
Jifunze matumizi ya neno baadhi...kwasababu tu qaliokuzunguka ndivyo walivyo haina maana ndivyo ilivyo kwa wanawake wengine wote!!
<br />
<br />
bibie hii ni q au w ulikuwa unamaanisha herufi ipi kati ya hizo..
 
hata sisi tunachana bili za baa, hazifiki nyumbani. Ni mapungufu ya binadamu wote, wa kike na kiume
 
Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.

Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo zake, viatu na hata madawa huwa na gharama halisi ya asilimia 20 zaidi ya ile anayomweleza mwenzi wake? Kwa mfano anaweza kumwambia mwenzi wake kanunua kiatu kwa shilingi 8,000, lakini ukweli halisi wa bei ya kiatu hicho alinunua kwa shilingi 10,000! Mara nyingi wanawake hutaja bei ya chini ya vitu vyao wanavyonunua kwa waume zao ili wasionekane waharibifu wa fedha au kuepuka kuzua zogo bure na wenzi wao.

Hio mara nyingi hufanywa hivo na majority for majority wapenzi/waume zao wana uwezo mdogo au niseme sustainable... Kama mwanaume anaweza himili/afford, mara nyingi wala hata haangaiki kuficha ukweli... issue inakua kama mwanaume ana uwezo wa kawaida... na huyo mwanamke akata nae apendeze kwa kitu/fashion fulani aloona na kutamani. Na mara nyingi hio hufanywa na wanandoa for majukumu ya ndani hua hayaishi - waweza kuta kuna pesa ya responsibility fulani inatakiwa ndani ya nyumba but at the same time huyo mwana mama anataka kununua kitu fulani of her choice.. lazima ataishia kutaja bei ya chini ya ile ya ukweli... However Mtambuzi ukumbuke kua in the case of galfriends or vimada bei ya vitu hutajwa mara mbili ya thamani for you are expected to pay for them in most cases....

Je ulikuwa unafahamu kuwa wanawake wanakuwa wawazi zaidi kwa mashoga zao kuliko walivyo kwa wapenzi au waume zao? Kama ulikuwa hufahamu juu ya hilo, basi kwa taarifa yako ni kwamba ni rahisi sana wanawake kuaminiana kiasi cha kuelezana siri zao kama ni marafiki wanaoaminiana sana. Huweza kuwaeleza marafiki zao kuhusu hata mzozo mdogo unaotokea kati yao na wapenzi wao. Kuwaeleza kuhusu vile wanavyotendewa na wakwe na mawifi zao. Kulalamikia jinsi wapenzi wao wanavyoonekana kuthamini zaidi burudani fulani kiasi cha kutumia muda wao wote huko. Nitaendelea kuweka siri zao nyingi hapa!

Hiio ya wanawake kua wa wazi kwa shoga zao hata wanaume pia... Kuna mambo guys husema kwa friends na wanawake pia... Sema tu most ladies husema specific details whereas guys general details... but at the end of the day woote ni wahusika... Na hilo la wadada wengi kupenda sema vitu vya chumbani ndo huwapotezea wapenzi wao kwa hao marafiki for tayari hua wanajua what makes the guy tick.. mwanaume akifikiri kapata mtu anaefaa na kujua mambo kuliko mpenzi wake (rafiki wa huyo) kumbe huyo dada tayari ana advantage ya kumjua before..

BTW... Naomba fuata ushauri wa Lizzy... hatuendi hivo - umefanya iwe too general....
 
Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.

Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo zake, viatu na hata madawa huwa na gharama halisi ya asilimia 20 zaidi ya ile anayomweleza mwenzi wake? Kwa mfano anaweza kumwambia mwenzi wake kanunua kiatu kwa shilingi 8,000, lakini ukweli halisi wa bei ya kiatu hicho alinunua kwa shilingi 10,000! Mara nyingi wanawake hutaja bei ya chini ya vitu vyao wanavyonunua kwa waume zao ili wasionekane waharibifu wa fedha au kuepuka kuzua zogo bure na wenzi wao.

Je ulikuwa unafahamu kuwa wanawake wanakuwa wawazi zaidi kwa mashoga zao kuliko walivyo kwa wapenzi au waume zao? Kama ulikuwa hufahamu juu ya hilo, basi kwa taarifa yako ni kwamba ni rahisi sana wanawake kuaminiana kiasi cha kuelezana siri zao kama ni marafiki wanaoaminiana sana. Huweza kuwaeleza marafiki zao kuhusu hata mzozo mdogo unaotokea kati yao na wapenzi wao. Kuwaeleza kuhusu vile wanavyotendewa na wakwe na mawifi zao. Kulalamikia jinsi wapenzi wao wanavyoonekana kuthamini zaidi burudani fulani kiasi cha kutumia muda wao wote huko.

Nitaendelea kuweka siri zao nyingi hapa!
Mkuu unatutisha sisi ambao hatujajaaliwa kuoa
 
Back
Top Bottom