Siri ilioko nyuma ya pazia juu ya nguvu za kiume

Siri ilioko nyuma ya pazia juu ya nguvu za kiume

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
489
Reaction score
386
Habari, nimeona nireje MAELEZO niliyowahi kuyatoa kwenye Moja ya Uzi niliyowahi kuchangia bàada yakupata PM na calls kutokana kwa wanaJF wengi wakihitaji ufafanuzi na msaada wakimatibabu juu ya hili na wengi wamepata ufumbuzi wa elimu na tiba juu ya hili. Nimerejea ili tujadili kwa pamoja kwa uelewa zaidi
common sense
Stress na madeni imekua visingizio sana kwa wasemaji na madokta wengi huanza na kusema hivyo, tuambiane ukweli.
Tuonge ukweli uko na pisikali shepu la maana alafu mpo faragha hizo stress na madeni unaanzaje kuvikumbuka aisee. Labda uwe umechoka kwa kazi ngumu au umefiwa, tofauti na hapo ni ugonjwa.
Jibu
Unatatizo kwenye mfumo wako wa uzazi. Concetration of zinc oxide cause cell erosion (mucus) on prostate gland and Corpus spongiosum (erection tissue) of penis and other places in the system it clog the system, pre ejaculation and impotence are results of erosion. Food we takes ndio chanzo, tuko kwenye ulimwengu wakibiashara; afya sio priority. Western foods ndio imekua lifestyle kwa waafrica na vyakula vyetu tumevipiga teke.
Solution
Badili mlo wako achana na machipsi na nyama n.k badala yake kula vyakula . Pata matibabu kwa wataalamu wa afya wa tiba asili wakuaminika.
Na katika matibabu ya kweli lazima huanze na kusafisha mwili mzima kabla yakuanza na kutibu sasa eneo husika, tatizo la watoa tiba hukimbilia moja kwa moja eneo lenye tatizo bila kuzingatia kua mwili ni mfumo.
Sugestions
Kama unahitaji msaada wa kimatibabu naweza kukusaidia, au tafuta tabibu aliye karibu yako.

Tahadhari
Utumiaji wa madawa ya kusisimua misuli kama Viagra, kama sutra, nk. Ni hatari kwa afya yako kwa ujumla inaweza leta matizo ya moyo, figo, ini na parmanent damage of tissues in reproduction system.
Chukua tahadhari na soma descriptions na side effects kama ndio maamuzi ulio amua kuchukua.

Dr. Luu
images (40).jpeg


Retrograde_ejaculation_en.svg.png
 
La msingi tufanye sana mazoezi kadiri tunavyoweza huku kufuga fuga matambi kunaifanya miili iwe scraper mapema mno ukichanganya na stress za maisha lazima kulalamika nguvu zimepotea.

Ukiwa na mwili strong mengine yote umeyashinda.
 
La msingi tufanye sana mazoezi kadiri tunavyoweza huku kufuga fuga matambi kunaifanya miili iwe scraper mapema mno ukichanganya na stress za maisha lazima kulalamika nguvu zimepotea.

Ukiwa na mwili strong mengine yote umeyashinda.
Kwa kuongezea hapo kwenye u strong ndio tunaanza na ulaji then daily basis kw mfano Kuna mtu kazi yake ni mazoezi tosha mfano, ujenzi nk
Kama muda mwingi unaka mazoezi n MUHIMU sana.
 
Psychological effects
Pia kunasuala lingine linaloweza kukusaidia kuweza kudumu kwenye tendo hili kwa muda zaidi kama utaelewa saikolojia iliyoko nyuma ya hili tendo tunaloita sex.
Kimsingi ukiwa na afya nzuri ni jambo Moja kisha mazoezi ya kuendesha hisia zako ni jambo lingine.
Fact
Kila mshindo unaopiga unapoteza nguvu nyingi sana kiasi kinachopelekea ubongo kuzalisha kemikali hambayo nikama madawa ya kulevya kutoa taarifa kwenye moyo na viungo vingine kupunguza utumiaji wa nguvu za mwili (hibernate mode), kwa mf Kwa watumiaji wa simu sio wageni na setting ya "battery saver". Hivyo hukitaka kudumu kwenye tendo hili ni vyema kujua kanuni hii yakutoku ejaculate kabisa kama hutaki kupoteza nguvu ( kwa athletic, matabibu n.k) au kuchelewa.
Chakufanya
Nikujipa mazoezi yafuatayo
1. Kuzisoma hisia zako, kujua wakati ambao unakaribia kuejakulate.
2. Pindi unapokaribia kuejakulate basi hufanye yafuatayo
(a). Punguza Kasi ya tendo (kwenda taratibu)
(b). Kukatiza tendo (hapa unaweza chomoa uume wako huku ukiendelea na romance na mbinu nyingine uendelee kumuweka kwenye Hali nzuri mwenzio)
(c) Kubadili style, pindi unapokaribia basi unaweza badili style na kujipa muda wakuendelea na tendo.
3. Kutotumia kitanda nyakati zote hupelekea kutumia nguvu nyingi kwa kuwa mara nyingi mwili unakuwa kwenye Hali ya mkandamizo nakukufanya hutumie nguvu nyingi wakati wa tendo. Imbalance state. Ni vyema kuweza kutumia kama meza, sofa, kusimama n.k
HITIMISHO
Kumbuka kuwa mwanaume sio powerhouse bali ni performer hivyo tendo hili haliitaji minguvu ila ujuzi na Sanaa ya Hali ya juu ilikumfanya mwanamke na wewe muwekwenye Hali yakufurahia tendo hili.
Mazoezi haya yanahitaji muda kuweza ku-master.
Nyongeza
Sehemu za mwili wa mwanamke na uke huna parts hivyo ulikua hili hutopata tabu kumridhisha hata wakati wakumuanda anaweza ridhika kabla ya tendo kabisa lenyewe.
 
Back
Top Bottom