Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

mashetani mumekalia kutukana tu .. kwanza Esma hajajibu ile ni account fake
 
Kuacha au kufukuzwa kazi jibu n moja tu haupo ktk kazi hiyo. Inatosha kusema hivyo
 
Kifesi akajiajirii tuu itamlipa zaidi maana ashapata Jina kubwa tuu..!! Mapenzi yana nguvu sanaa... Wemaa kamshika mond kunakoo
 
Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
eti vidole ka tangawizi!!wanawake mna maneno....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…